Vijana wanaomaliza mafunzo JKT (service persons) wamejirekodi kwenye video na kusema wakikutana na mtu anayeandamana wanamtoa kinyesi, na kuwa ili wawe salama basi wahakikishe wawe na Tsh. 20,000/, lakini pia waombee wakutane na watu wengine ila sio kukutana na wao kutokana na mambo...