VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

DexterLab

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2024
Posts
443
Reaction score
584
Vijana wanaomaliza mafunzo JKT (service persons) wamejirekodi kwenye video na kusema wakikutana na mtu anayeandamana wanamtoa kinyesi, na kuwa ili wawe salama basi wahakikishe wawe na Tsh. 20,000/, lakini pia waombee wakutane na watu wengine ila sio kukutana na wao kutokana na mambo watakayowafanyia!

======

Salamu kwa hii video ya hawa vijana wa jkt nadiriki kusema JKT ya sasa sio ile miaka ya '80s mpaka 90s,

Au wanatoa taswira kwamba vyombo vya dola vya miaka hii ndo hulka yao hii wakiwa makambini?

Wazazi wa hawa vijana wanajua kama vijana wao ndo walichofundishwa hiki?

Ndicho walicho funzwa huko kambini kwa muda wote waliokaa hapo.

Salamu kwa hii video ya hawa vijana wa jkt nadiriki kusema JKT ya sasa sio ile miaka ya '80s mpaka 90s,

Au wanatoa taswira kwamba vyombo vya dola vya miaka hii ndo hulka yao hii wakiwa makambini?

Wazazi wa hawa vijana wanajua kama vijana wao ndo walichofundishwa hiki?

Hawa ni wakuchapa fimbo
 
JKT ni military wing ya UVCCM, hii JKT ya sasa ni kiwanda cha kuzalisha chawa.
 
Salamu kwa hii video ya hawa vijana wa jkt nadiriki kusema JKT ya sasa sio ile miaka ya '80s mpaka 90s,

Au wanatoa taswira kwamba vyombo vya dola vya miaka hii ndo hulka yao hii wakiwa makambini?

Wazazi wa hawa vijana wanajua kama vijana wao ndo walichofundishwa hiki?

ikiwa sio kosa si ujitokeze uandamane gentleman, mbona unatishika na uzalendo wa vijana waliojitolea kufa kupona kulijenga na kulipigania taifa lao dhidi ya adui wa amani, umoja na usalama wa taifa lao? :NoGodNo:
 
JKT wengi ni Zao la UVCCM sasa hivi kijana ili uende jeshi lazima uwe connected na mtu kutoka CCM. Sasa wewe na mwanao wenye nyimbo zenu za NO REFORM NO ELECTION hata mgambo mtaisikia kwenye kuvunjiwa vibanda vya mama lishe
 
Back
Top Bottom