VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

Asante mkuu, mimi ni mtu wa chai, ukiniambia twende kisutu tukanywe chai lazima niwahi, kahawa huwa nafuata mkumbo tu.. Siielewagi.

Lakini… si ni lazima wapite JKT ndio waende JW? I mean kuna mchakato mwingine wa kuwapata JW nje ya kupita JKT?
Ukipata spanish Latte 😋😋
utajiramba midomo, chai huwa napenda tumia kabla sijalala

JKT ndio utaratibu, ila kwenye filter hawazingatii . Mambo yanajiendae tu mkuu
 
Vijana wanaomaliza mafunzo JKT (service persons) wamejirekodi kwenye video na kusema wakikutana na mtu anayeandamana wanamtoa kinyesi, na kuwa ili wawe salama basi wahakikishe wawe na Tsh. 20,000/, lakini pia waombee wakutane na watu wengine ila sio kukutana na wao kutokana na mambo watakayowafanyia!

======

Salamu kwa hii video ya hawa vijana wa jkt nadiriki kusema JKT ya sasa sio ile miaka ya '80s mpaka 90s,

Au wanatoa taswira kwamba vyombo vya dola vya miaka hii ndo hulka yao hii wakiwa makambini?

Wazazi wa hawa vijana wanajua kama vijana wao ndo walichofundishwa hiki?

Ndiyo ujinga wanaofundishwa
 
Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 7
JKT wengi ni Zao la UVCCM sasa hivi kijana ili uende jeshi lazima uwe connected na mtu kutoka CCM. Sasa wewe na mwanao wenye nyimbo zenu za NO REFORM NO ELECTION hata mgambo mtaisikia kwenye kuvunjiwa vibanda vya mama lishe
Sio kweli sasa hivi form six wote wanaenda
 
Mihemko tu ya vijana hio
Miemko iyo ndio ishawafanya wakose kazi, labda kama wana ndugu anayeweza kuonga vizuri ndio wataingia kwenye ajira. Wakiingiaa mtaaani wakikutana na JKT wengine ambao walikaaa kusubiri mpaka wakabidi wachukue pikipiki ya mkataba na marejesho yameshindikana kulipika ndio watajua waliokuwa wanaaandamana wana akili au vip?
 
Vijana wanaomaliza mafunzo JKT (service persons) wamejirekodi kwenye video na kusema wakikutana na mtu anayeandamana wanamtoa kinyesi, na kuwa ili wawe salama basi wahakikishe wawe na Tsh. 20,000/, lakini pia waombee wakutane na watu wengine ila sio kukutana na wao kutokana na mambo watakayowafanyia!

======

Salamu kwa hii video ya hawa vijana wa jkt nadiriki kusema JKT ya sasa sio ile miaka ya '80s mpaka 90s,

Au wanatoa taswira kwamba vyombo vya dola vya miaka hii ndo hulka yao hii wakiwa makambini?

Wazazi wa hawa vijana wanajua kama vijana wao ndo walichofundishwa hiki?

Naona sasa CCM imeishiwa hoja kabisa. Wameamua kutrain majeshi kwa ajili ya kuleta vurugu hapa nchini.
 
ikiwa sio kosa si ujitokeze uandamane gentleman, mbona unatishika na uzalendo wa vijana waliojitolea kufa kupona kulijenga na kulipigania taifa lao dhidi ya adui wa amani, umoja na usalama wa taifa lao? :NoGodNo:
Unatetea kwamba kuandamana ni Tsh 20,000? Kazi unayo. Au hujasikiliza video za hawa vijana wadogo ambao akili bado hazijakomaa?
 
waliokua wakifanya ghasia wakilipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, makazi ya watu na kuharibu miundombinu walikua wamekomaa zaidi ee gentleman, right?🐒
 
Wajifunze kwa wenzao , wametumikishwa ujenzi wa ikulu ya Dodoma, then wame wa dump,
Utawaeleza nini hao watoto wakuelewe na ukienda mahangani kwao utasikia soja,baba,mike,matron ,sungura,twiga,nyani,mt,mtm sijui na nini nini huko kumbe wapo kwenye kukomazwa vitu vidogovidogo kama maumivu ya miili na njaa za muda mfupi…Chura anazidi kuwainua familia yake hana mpango na mbara asiyeunga mkono kijani cha shetwain.
 
Back
Top Bottom