VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

Vijana wanaomaliza mafunzo JKT (service persons) wamejirekodi kwenye video na kusema wakikutana na mtu anayeandamana wanamtoa kinyesi, na kuwa ili wawe salama basi wahakikishe wawe na Tsh. 20,000/, lakini pia waombee wakutane na watu wengine ila sio kukutana na wao kutokana na mambo watakayowafanyia!

======

Salamu kwa hii video ya hawa vijana wa jkt nadiriki kusema JKT ya sasa sio ile miaka ya '80s mpaka 90s,

Au wanatoa taswira kwamba vyombo vya dola vya miaka hii ndo hulka yao hii wakiwa makambini?

Wazazi wa hawa vijana wanajua kama vijana wao ndo walichofundishwa hiki?

Hao ni wa kuwaonea huruma. Subiri warudi mtaani wao ndio watatamani kuandamana.
 
Karibu espresso mkuu ..

Asante mkuu, mimi ni mtu wa chai, ukiniambia twende kisutu tukanywe chai lazima niwahi, kahawa huwa nafuata mkumbo tu.. Siielewagi.
Huko hizo program ni machaka moja wapo ya upigaji
Lakini… si ni lazima wapite JKT ndio waende JW? I mean kuna mchakato mwingine wa kuwapata JW nje ya kupita JKT?
 
Back
Top Bottom