VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

Umenikumbusha mbali, 821 KJ Bulombora 2017 hiyo nikiwa mujibu wa sheria B Coy.

Tuliwakuta kuruta OP Tanzania ya Viwanda walikuwa wameiva.

Nakumbuka kulikuwa na mwamba mmoja ivi Mkurya alikuwa ni mbabe sijawahi ona.

Mwamba alikuwa anaingia kwenye dormitory ya Mademu kwa nguvu.

Alipigika sana na MPs lakini wapi, hadi walimuhamisha hiyo Kambi sijui aliendaga wapi mwamba.

Oya wanangu wa 821 KJ Bulombora mnamkumbuka AFANDE MNAA? Nasikia now ni marehemu, Oya mnamkumbuka afande Msukuma mzee white mwili Jumba.

Oyaa mnamkumbuka Afande Sambufaaa, Oyaaaa balaa kwa Afande Warioba kama sijasahau Jina aliua chatu hadi akachoma nyama yake nakumlaaa.
821KJ.

Mi namkumbuka afande sabufa, Afande Chulei sameja 😅 Huyo msukuma ni nani? au Wezere?

😂😂😂
 
Back
Top Bottom