The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,281
- 49,313
Hamna mwanajeshi, sungusungu wala mwanamgambo hapo.Somehow hata hajui maana ya JKT, JW kama atafika huko…!
Hamna mwanajeshi, sungusungu wala mwanamgambo hapo.Somehow hata hajui maana ya JKT, JW kama atafika huko…!
Wakiwa na Tsh 20,000 ya kulipia wachome tu? Ndo shida ya kutetea bila kufikiri.waliokua wakifanya ghasia wakilipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi, makazi ya watu na kuharibu miundombinu walikua wamekomaa zaidi ee gentleman, right?🐒
Moja, waombe sana waajiriwe na either serikali, au baba zao, pili, wajiandae kuishi mitaani kama digidigi, maana hizi video wananchi wamezitunza.Vijana wanaomaliza mafunzo JKT (service persons) wamejirekodi kwenye video na kusema wakikutana na mtu anayeandamana wanamtoa kinyesi, na kuwa ili wawe salama basi wahakikishe wawe na Tsh. 20,000/, lakini pia waombee wakutane na watu wengine ila sio kukutana na wao kutokana na mambo watakayowafanyia!
======
Salamu kwa hii video ya hawa vijana wa jkt nadiriki kusema JKT ya sasa sio ile miaka ya '80s mpaka 90s,
Au wanatoa taswira kwamba vyombo vya dola vya miaka hii ndo hulka yao hii wakiwa makambini?
Wazazi wa hawa vijana wanajua kama vijana wao ndo walichofundishwa hiki?
kwani waliobebwa ufala wa kifikra na walkalipua vituo vya mafuta na kupora maduka ya watu walilipwa kiasi gani na chama chenu, lakini pia na AZAKI gentleman?🐒Wakiwa na Tsh 20,000 ya kulipia wachome tu? Ndo shida ya kutetea bila kufikiri.
Mkuu sijamaanisha hao kwa mujibu!! Mm maana yangu ni wale wa kujitolea baadae ndoto Yao iwe kulitumikia jeshi au polisi wengi wao ni connected kutoka vijana wa UVCCM na wengine wa watu wa CCM kabisa.Sio kweli sasa hivi form six wote wanaenda
Wewe mwanamke ficha ujinga wako!! Kama unawajua hao waliochoma vituo vya mafuta hebu tueleze miili ya hao marehemu waliokuwa wanazagaa barabarani mliizika wapi?? Mbona unaandika ujinga wewe mwanamkekwani waliobebwa ufala wa kifikra na walkalipua vituo vya mafuta na kupora maduka ya watu walilipwa kiasi gani na chama chenu, lakini pia na AZAKI gentleman?🐒
vijana wa ovyo ugali utawafanya wasaliti kiapoVijana wanaomaliza mafunzo JKT (service persons) wamejirekodi kwenye video na kusema wakikutana na mtu anayeandamana wanamtoa kinyesi, na kuwa ili wawe salama basi wahakikishe wawe na Tsh. 20,000/, lakini pia waombee wakutane na watu wengine ila sio kukutana na wao kutokana na mambo watakayowafanyia!
======
Salamu kwa hii video ya hawa vijana wa jkt nadiriki kusema JKT ya sasa sio ile miaka ya '80s mpaka 90s,
Au wanatoa taswira kwamba vyombo vya dola vya miaka hii ndo hulka yao hii wakiwa makambini?
Wazazi wa hawa vijana wanajua kama vijana wao ndo walichofundishwa hiki?
What if ajira yao ni hiyo ya kupiga waandamanaji na kuchukua 20000 zao ?Ajira gani hiyo, hamna ajira yoyote hapo unless selection za majeshi ziwakute kama enzi zetu.
Hao wape 3 month baada ya kurudi mtaani. Huo msimamo watabadili wenyewe
Watapigia wapi? Ukishamaliza cozi unarudi home, utaoigia watu kutoka mtaani?What if ajira yao ni hiyo ya kupiga waandamanaji na kuchukua 20000 zao ?
Huyo kijana anasema Tsh 20,000 ukiwa nayo ya kumlipa ni sawa ukiandamana. Umemsikia?kwani waliobebwa ufala wa kifikra na walkalipua vituo vya mafuta na kupora maduka ya watu walilipwa kiasi gani na chama chenu, lakini pia na AZAKI gentleman?🐒
Hongereni vijana wazuri, sana!Vijana wanaomaliza mafunzo JKT (service persons) wamejirekodi kwenye video na kusema wakikutana na mtu anayeandamana wanamtoa kinyesi, na kuwa ili wawe salama basi wahakikishe wawe na Tsh. 20,000/, lakini pia waombee wakutane na watu wengine ila sio kukutana na wao kutokana na mambo watakayowafanyia!
======
Salamu kwa hii video ya hawa vijana wa jkt nadiriki kusema JKT ya sasa sio ile miaka ya '80s mpaka 90s,
Au wanatoa taswira kwamba vyombo vya dola vya miaka hii ndo hulka yao hii wakiwa makambini?
Wazazi wa hawa vijana wanajua kama vijana wao ndo walichofundishwa hiki?
Safi sana vijana wazalendo! Vunja kiuno kabisa washindwe kufanya ngono!Vijana wanaomaliza mafunzo JKT (service persons) wamejirekodi kwenye video na kusema wakikutana na mtu anayeandamana wanamtoa kinyesi, na kuwa ili wawe salama basi wahakikishe wawe na Tsh. 20,000/, lakini pia waombee wakutane na watu wengine ila sio kukutana na wao kutokana na mambo watakayowafanyia!