Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Inawezekana wazazi wakakufundisha ujinga au wakakulea kijinga.Wewe hapo sasa hivi ukifanya ujinga wa kulaumiwa wewe au wazazi wako
Inawezekana wazazi wakakufundisha ujinga au wakakulea kijinga.Wewe hapo sasa hivi ukifanya ujinga wa kulaumiwa wewe au wazazi wako
Tujadili kwanza kuhusu hawa watoto uchwara wasio na maadili.kwahiyo wewe ndie ulikua na maadili ulipokua unataka kumpasua mpiga kura kwa ukuni, hali ya kua wewe ulisusia uchaguzi kwa hiyari yako, right?🐒
Bora kitambi kuliko makebo.Cha ajabu wanaopiga makelele mitandaoni kutaka kuandamana ni wala chips yai, vitambi wote lonyolonyo halafu ndio wanajifanya eti watakinukisha,
Wamechukuliwa hatua zipi?Nadhani haya ni makosa yao Binafsi. Sioni kama Taasisi Inahusika hapo.
Haya ni mawazo yao wenyewe.
Wamekuwa machawa.Vijana wanaomaliza mafunzo JKT (service persons) wamejirekodi kwenye video na kusema wakikutana na mtu anayeandamana wanamtoa kinyesi, na kuwa ili wawe salama basi wahakikishe wawe na Tsh. 20,000/, lakini pia waombee wakutane na watu wengine ila sio kukutana na wao kutokana na mambo watakayowafanyia!
======
Salamu kwa hii video ya hawa vijana wa jkt nadiriki kusema JKT ya sasa sio ile miaka ya '80s mpaka 90s,
Au wanatoa taswira kwamba vyombo vya dola vya miaka hii ndo hulka yao hii wakiwa makambini?
Wazazi wa hawa vijana wanajua kama vijana wao ndo walichofundishwa hiki?
Hakika.Baada ya mwaka mmoja, Hao ndo watakao andamana mitaaani
Huo ndo ukweli wenyewe.Hapa naona unataka kuwahukumu wakufunzi wakati huu ni ujinga wa vijana wenyewe
Unamaana kwamba F6 wanaoenda JKT kwa Mujibu wa Sheria nao ni zao la UVCCM? Kama ndo hivyo; logically vijana wanaoingia F one watakuwa lazima wawe ni zao la UVCCM. What a Fallacy!!!JKT wengi ni Zao la UVCCM
Sio kweli. Kimsingi; Jeshi halitakiwi kufungamana na siasa.sasa hivi kijana ili uende jeshi lazima uwe connected na mtu kutoka CCM.
Sema kweli bwashee!Sasa wewe na mwanao wenye nyimbo zenu za NO REFORM NO ELECTION hata mgambo mtaisikia kwenye kuvunjiwa vibanda vya mama lishe

Haya siyo bahati mbaya . Yamepangwa. Nchi hii ni ya kipuuzi sanaHapa naona unataka kuwahukumu wakufunzi wakati huu ni ujinga wa vijana wenyewe
Yeah. Inawezekana ikawa hivyo kwani hapo Vijana wanazuga ili maafande wasiwashtukie. Wanajirekodi nyuma ya mahanga.Wacha nikwambie nilichoona kwa hao vijana.Kwanza kabisa hawa watakuwa ni wa kwanza kuandamana.Kwa kauli walizotoa tu na nana wanavyoongea basi ujue kabisa kwamba Kwenye maandamano watakuwa mbele.
kaandamane waje kukupokea 🐒
kwahiyo tuache kujadili ulivyomkosakosa mpiga kura kwa kisu, right?Tujadili kwanza kuhusu hawa watoto uchwara wasio na maadili.