jkt

JKT48 (read as "J. K. T. Forty-eight") is an Indonesian idol group whose name is derived from its based city of Jakarta and the Japanese idol group AKB48. Formed in 2011, it is the first AKB48 sister group outside Japan and adopts the concept of "idols you can meet", before switching to "idols that will come to meet you" since 8 April 2018. Fans can attend daily performances at the group's theater, which was built as a close replica to the AKB48 Theater in Akihabara.While JKT48 does not restrict membership by nationality, applicants must be residents of Indonesia. As of 13 December 2019, the group has 42 individual team members, with one of them performs in two teams. It also has 28 Class A Academy members – formerly known as trainees – and 13 Class B Academy members.On 16 February 2013, JKT48 released its first studio album Heavy Rotation via Hits Records, a division of MNC subsidiary PT Star Media Nusantara. It performs songs by AKB48 and other sister groups that are translated into Indonesian.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Kisa cha Kusismua CHA Jenipher Mgendi aliyopitia Akiwa JKT 1993

    Jenipher Mgendi N mwimbaji wa Nyimbo za injili Nchini Tanzania amewahi Kutamba an Nyimbo kama Vile Chekundu, Yesu Nibebe;Nipo StudioBaba n.k Leo anatusimulia Kisa chake kilichotokea Miaka zaidi ya Thelathini iliyopita wakati Huo akiwa Jeshini Huko kabuku Mkoani Tanga. soma mwenyewe Jeshi la...
  2. Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT

    Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka. Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa...
  3. Tupo na JKT na Tabora utd mpaka zishuke daraja

    Ni kawaida kwa vilabu vidogo vidogo kukamia na kuweka nguvu nyingi zinapocheza na Bingwa mtetezi. Tabora utd baada ya kuifunga Yanga wakaweka mpaka sherehe na pesa ndefu wakagawana, Ila walipocheza na walozi wengine wanaachia tu! Kwani hii Ligi anayecheza ni Yanga peke yake? JKT akicheza na...
  4. Hamdi, Kocha wa Yanga aanza na malalamiko baada ya suluhu na JKT Tanzania

    Hamdi Kocha wa Yanga "Ukiwa unafukuzia ubingwa ni ngumu kukaa kileleni, ni bora kukaa nafasi ya pili ukiwa unampumulia kinara wa ligi, narudia tena hakuna kazi ngumu kama kukaa kileleni" "Halafu leo sijapendezwa na refa, muda wote alisimamisha mchezo na kupoteza muda"
  5. Tathmini fupi mechi ya JKT TANZANIA vs Young Africans

    Mechi ilikuwa nzuri Nampongeza coach wa JKT Tanzania ametupa mechi nzuri Hii inathibitisha ubora wa ligi Nampongeza mwamzi Arajiga, ameonyesha tofauti na waamzi wengine Coach hakuifanyia tathmini nzuri timu ya JKT Tanzania kuwa ni wazuiaji wazuri na wanacheza physical game akaamua kuanza na...
  6. FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

    Mabingwa wa muda wote wa ligi ya Tanzania Bara, Mabingwa watetezi wa ligi kuu msimu huu na vinara wa ligi YOUNG AFRICANS SC watashuka dimbani leo majira ya saa 10 za jioni ugenini kuwakabili JKT TANZANIA katika dimba la Meja Jenerali Isamhyo. Je, Yanga kuendelea kujichimbia kileleni wa...
  7. M

    Viongozi wa JKT Tanzania hakikisheni Yanga hawapiti mlango wowote zaidi ya ule mtakaopitia nyinyi, washaingia katika mfumo leo

    Leo lazima kuwe na ubaya ubwela pale Meja Isamuyo, tafadhalini sana uwanja huo una nidhamu zake, eneo hilo ni kambi ya Jeshi, mambo ya kuingia uwanjani kuruka ukuta ama kuvunja geti mpitie mlango mwingine tofauti na ule uliowekwa ukomeshwe leo, Utopolo hawana uwezo wowote zaidi ya nje ya uwanja...
  8. FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

    Ni jioni ya leo saa 10:15 pale KMC Complex. Ubaya Ubwela
  9. Waziri wa Ulinzi na JKT afanya ziara Wilayani Monduli kuzungumza na viongozi wa jamii ya wafugaji

    Januari 24, 2025, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Tax (Mb) amefanya ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kimila wa jamii ya Kimasai, Viongozi wa Vijiji na Madiwani, katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya...
  10. Mafunzo ya JKT yanaleta uzalendo?

    Inawezekana sijui kwa usahihi tafsiri sahihi ya neno uzalendo. Lakini najua dhima mojawapo ya kuwepo kwa mafunzo ya JKT ni kujenga uzalendo kwa vijana wa Tanzania! Hilo lengo limefikiwa? Mimi naamini Mzalendo hachukui rushwa. Naamini Mzalendo hawezi kuihujumu nchi yake! Lakini mbona kuna watu...
  11. Waandaaji wa pambano la knock out ya mama mlipaswa kutumia brass band za majeshi yetu (TPDF, JKT, polisi au magereza) katika kupiga nyimbo za taifa

    Nimeshangazwa kuona waandaaji wa pambano hili ambalo linatazamwa Kimataifa na lina Jina la Mkuu wa nchi huku mgeni rasmi akiwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa well organized katika kuhakikisha nyimbo za Taifa zinapigwa katika ubora unaostahili badala ya kutumia recorded...
  12. JKT Tanzania, TAKUKURU na Bodi ya Ligi ichunguze bank account na kumhoji mchezaji Mohamed Bakari

    Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni...
  13. M

    Simba Tumlipe mchezaji wa jkt kwa uzalendo wake kwetu

    Kajitoa muhunga sana kuisaidia Simba jana. Na sasahivi nasikia timu yake yote inamlaumu na hata Kocha wake ka mmaindi sana. Katupa furaha sisi Msimbazi hivyo tusimuache kinyonge hivyo, ipo siku atatufanyia jambo lingine la maana kabisa. Pia itahamasisha MAWAKALA WETU WENGINE .
  14. Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dakika za jioni dhidi ya JKT Tanzania

    1. Hii ni moja kati ya mechi ngumu msimu huu, JKT wamecheza kwa mbinu na nguvu nyingi dakika zote. 2. Refarii hajafanya kosa kutoa tuta, lile ni tuta, wa kulaumiwa ni mchezaji wa JKT kufanya utoto dakika za mwisho ( inawezekana ni mwanafamilia wa Simba). 3. Joshua mutale apewe mapumziko na...
  15. Shaloom Africa enterprises tunakuletea bungalow lipo Mbweni JKT kwa mil 685

    Maelezo ya Nyumba: Nyumba kubwa sana na ina sehemu ya parking kubwa sana. Nyumba ipo mbweni JKT. Nyumba na eneo la wazi ukubwa wa SQM 2201. Nyumba ina mortgage Mwanga Bank kiasi cha MiL 300 so tunaenda kufanya process zote bank ili uchukue Nyumba na hati zake. Kuiona nyumba no nakupeleka na...
  16. FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

    Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande? Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD Usikose uhondo huo
  17. Mechi ya kiporo ya Simba dhidi ya JKT Tanzania kuchezwa Disemba 24, KMC Complex

    Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao awali ulihairishwa baada ya mpinzani wetu kupata ajali sasa umepangwa kuchezwa Disemba 24, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa KMC Complex. Mchezo huu awali haukuchezwa kutokana na JKT Tanzania kupata ajali ya gari na baadhi ya wachezaji wao...
  18. Nyerere na Wanafunzi wa Chuo Kikuu waliopinga kwenda JKT.

    Hotuba hii ilitolewa kama kijitabu TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO. Unaweza kukisoma bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Inapatikana playstore. Oktoba 23, 1966. Wananchi, Jana tumefukuza wanafunzi wapatao 393 kutoka katika vyuo mbali mbali vya Dar es Salaam baada ya maandamano yao ya...
  19. Watanzania sio washangiliaji hata wakiingia Bure wanaenda kukaa tu nakutafuna popcorn ni afadhali tungepeleka jkt, wanafunzi wa shule zote na scout

    Watanzania ni mashololo ,ni mabishoo ni watu wasiopenda shida hawajui hamasa ila wanachojua wao ni kulaumu na Kutukana basi !tungepeleka wanafunzi wa secondary na vikundi vya hamasa vya ccm ,bendi ya TOT na twangapepeta nk
  20. "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT.

    "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT nikalinda sehemu ya kwanza ilikua Golden Tulip ambako security officer alinitaka niingie kila siku kwa mshahara wa laki mbili. Ilikua changamoto kutoka kigamboni paka masaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…