Hayo maelezo ya CDF yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Maana kuharisha na kutapika inawezekana pia ni "Rhabdomyolisis" hali ambayo hupelekea "Acute kidney failure", kwa kesi ya vijana moja kwa moja ni mazoezi ya kupitiliza kutoka kwa maafande. Uchunguzi huru unahitajika
na wa kuwajibishwa...
Habari wakuu!
Linapokuja suala la nafasi za kazi kwenye Vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama na kuhitaji vijana walioko makambini(jkt) vijana wa Zanzibar huwa wanabebwa kana kwamba yatima, hapa sisemi kuwa hawa vijana kutoka Zanzibar waachwe la bali ni vyema watazamwe kama vijana wengine kutoka...
Ukiondoa uzalendo binafsi ambao mtu huzaliwa nao uzalendo mwingine hupatikana kwa njia ya mafunzo yatolewayo katika Jeshi la Kujenga Taifa kwa kifupi JKT.
Inasemekana kupitia tetesi kwenye korido za Lumumba kwamba zamu hii kulitumikia jeshi la kujenga taifa itakuwa ni kipimo cha uzalendo wako...
Rais Magufuli ameagiza vijana wote wenye elimu ya shahada ya kwanza waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) “Operesheni Magufuli” kupewa ajira katika taasisi mbalimbali za serikali.
Ujumbe huo ulitolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dk. Laurean...
[/URL]
Rais wa Tanzania, John Magufuli
Kwa ufupi
Serikali ya Tanzania imetangaza ajira 40,000 kati ya hizo, 800 zitawahusu vijana waliojitolea kwa miaka miwili katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
Dodoma. Rais wa Tanzania, John Magufuli ameagiza vijana 800 wenye shahada waliojitolea katika...
Baadhi ya Vijana wa Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Kikosi cha Milundikwa Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa wanadaiwa kuvamia Kijiji cha Kipande na kutembeza kipigo kikali kwa Wananchi hadi mmoja wao Sabato Mbalamwezi kupoteza maisha.
Inaelezwa kuwa Sabato Mbalamwezi na mwenzie Renatus Wankamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.