Oooraah inakua nigani Machaliganse na Ma'mamiloonse humu ndichi..?!I hope mko Yechu..
Okay here we go, Ngoja nidane chapcheree kwenye Mada,,Kuna siku bhana tukiwa zetu JKT baada ya kumaliza Form6, tulikua machalii kama wa5 hivi tume'chill chini ya mti tunabofonga story za hapa na pale...
Sasa...