jmt

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
  1. Kiongozi wa Serikali ya JMT ambaye pia ni mgombea wa CCM akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    -
  2. Kiongozi wa Serikali ya JMT akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja! Modes naomba uzi huu...
  3. Kwa heshima na Tahadhima tunaiomba Serikali yetu sikivu ya JMT ianze kuipa muundo wa kiutumishi na mshahara Masters/PhD degree

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.........KAZI IENDELEE 🇹🇿 🇹🇿 Naanza na kuishukuru serikali yetu ya Awamu ya 6 chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kwa kutujari Watumishi wa umma, na si Watumishi tu, bali makundi yote yameguswa chanya na serikali yetu, utaona ruzuku zimejaa kila Kona ya nchi, na...
  4. Tabia hii mbaya inaota mizizi: Wimbo wa taifa ni tunu ya JMT, inakuwaje uimbwe na kuchezwa kwa TUNE tofautitofauti!

    Nimeghabika kuuona mwendelezo wa kuimbwa kitofauti kwa huu wimbo mtukufu na TUNU ya JMT. Wiki ya kampeni ya uzinduzi wa huduma wa msaada wa kisheria wa mama Samia hapa Mwanza.... Kinachonishangaza ni kuwa siku unapochezwa mbele ya mh.Rais ,Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kamwe tabia hii MBAYA...
  5. Pandora Box:Trump anafungua ya JFK na MLK US huku TZ tunasubiri ya JPM,JK na SSH kubaka Katiba ya CCM na JMT je,Mungu kampa TAL kazi hiyo maalum?

    Katika hatua iliyoshangaza wengi, Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa agizo maalum la kuwekwa hadharani kwa taarifa za siri zilizofichwa kwa miongo kadhaa. Kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy (JFK), mdogo wake Robert F. Kennedy (RFK), na kiongozi mashuhuri wa haki za binadamu, Martin...
  6. Serikali inayofanyakazi: Serikali ya #JMT🇹🇿 na @UNWTO zimesaini mkataba wa makubaliano utakaoifanya 🇹🇿 Kongamano la Chakula

    HIZI NDIZO KAZI ZA SERIKALI YA KISASA https://x.com/urtupdates/status/1882732188799799422
  7. Ghafla nimetamani Lissu asishinde Uenyekiti ili agombee Urais wa JMT tena

    Ghafla nimetamani iwe hivi. Lissu aachane na huo uenyekiti ili hapo mbeleni agombee Urais wa JMT tena. Sioni mwingine wa kupambana na Mama hapo mbeleni kwenye uchaguzi mkuu zaidi ya Lissu.
  8. 2030: CCM kutoa Wagombea Wapya JMT na Zanzibar

    Matokeo ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa yamewatangaza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Pamoja Na Rais Dkt Hussein Ali Mwinyi Kuwa wagombea Urais 2025-2030. Marais hawa watakuwa wanakamilisha Ngwe zao za Pili za Uongozi katika Ngazi ya Urais Katika Serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  9. Pre GE2025 Ni dhahiri Lissu ndiye Rais ajaye wa JMT

    Nina hoja Tangu Tundu Antipas Lisu atangaze na kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa wa CHADEMA. Watanzania karibia wote wamekuwa wanafuatilia na hususan kuonesha kumuunga mkono CCM imeporomoka umaarufu kwa ghafla mno. Hata mkutano Mkuu unaoandaliwa Dodoma umekosa shamsham zake kama ilivyo...
  10. The State, We must Both agree that We need to move from MAGUFULI to MAGUFULISM na huo ndio uwe Mwelekeo wa Taifa

    Magufuli was more than a Person, He was a Country, He was a Vector., However, we unexpectedly lost this national treasure. Magufuli's Strategy, Ideas, Principles , Beliefs should be turned into a National Ideology and this will further prevent the risk associated with One Man. The essence of...
  11. J

    Mbowe: Rais wa JMT ni Taasisi ila sisi kama Chadema ni Kikundi tu Cha Watu tunaojitolea hatuhitaji Term Limit!

    Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe ameahidi kuheshimu Ukomo wa Madaraka pindi Chadema ikiingia Ikulu Source: Crown media
  12. ACT: Tunaitaka Serikali ya JMT, kuacha utowaji wa Leseni kwa eneo la Fungu Mbaraka na Bahari Kuu upande wa Zanzibar

    TAARIFA KWA UMMA TUNAITAKA SERIKALI YA JMT, KUWACHA MARA MOJA UTOWAJI WA LESENI KWA ENEO LA FUNGU MBARAKA NA BAHARI KUU UPANDE WA ZANZIBAR Tokea mwaka (2009) ambapo Baraza la Wawakilishi na Serekali ya awamu ya sita ya Dr. Abedi Amani Karume na aliekua Waziri wa sekta hiyo ndugu Mansour Yussuf...
  13. Tanzania Nchi 1 ya JMT, Zanzibar Kujiita Nchi, Sio Uhaini?. Zanzibar Iadabishwe Kuondoa Ubatili wa Katiba Yake ili Tuitambue au Tumchelee Mwana Kulia?

    Wanabodi, Makala yangu ya leo kwenye gazeti la Mwananchi. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/katiba-ya-zanzibar-inavyokinzana-na-ya-jamhuri-ya-muungano-wa-tanzania-4853314 Kuna msemo wa Kiswahili usemao, mchelea mwana kulia , hulia yeye!. Makala hii ni swali "Tanzania ni nchi moja ya...
  14. Kiuhalisia Rais wa JMT ndiye Rais wa Tanganyika. Akiwa ametokea Visiwani tahadhari kubwa inahitajika ili kuulinda Muungano.

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una mambo ya SEBULENI na ya CHUMBANI. Mojawapo ya mambo ya chumbani ni kwamba Rais wa JMT hawezi akatokea Visiwani moja kwa moja. Na kamwe haitokaa itokee Rais wa SMZ akatokea Bara. Rais Mwinyi na Samia walipata ngekewa za kuwa Marais wa JMT wakati tu wa...
  15. A

    Mapungufu ya katiba ya JMT

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, licha ya kuwa msingi wa utawala na sheria nchini, imekuwa ikikabiliwa na changamoto kadhaa ambazo zimeibua mijadala kuhusu umuhimu wa kuifanyia marekebisho au kuandika katiba mpya. Baadhi ya mapungufu yake ni pamoja na: 1. Madaraka...
  16. Benki kuu ya Tanzania yakanusha Noti yenye Sura ya Rais Samia

    Benki kuu ya Tanzania imethibitisha Kuwa Noti Inayosambaa Mitandaoni Ikionesha Noti Ya Fedha Ikiwa Na Sura ya Rais Samia Suluhu Hassan Kuwa Sio Sahihi. Taarifa kama Inavyo onekana Kwenye Picha. Soma Pia: Mwigulu: Natamani noti ya 100 iwe na nembo ya Yanga
  17. Wajua Kuna Sheria Halali, Batili na Batilifu, Ndoa Halali, Batili na Batilifu, Je Wajua Katiba ya JMT ni Batilifu?. Why Ubatili Huu wa Katiba Yetu?!

    Wanabodi, Japo mimi ni mwandishi tuu wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nimegundua kumbe wito wangu ni ualimu, kufundisha watu, hivyo from time to time nitakuwa napiga humu darasa la bure la katiba, sheria na haki. Somo la leo ni kuhusu halali, batili na batilifu, ambapo kuna...
  18. Pre GE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

    Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba Mgeni Rasmi...
  19. Tatizo la Kofia Mbili, Mwenyekiti Chama na Rais wa JMT ndio Lipo Hapa.

    Mwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu. Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na vyeo hivyo vitengwe sio CCM tuu bali hata vyama vingine vikiingia madarakani
  20. Kuhusu kutokuwa na Imani na Spika wa Bunge la Tanzania

    Naandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT. Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim. Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…