Maneno yamekuwa mengi ila sijafanikiwa kuona mtu anatuwekea huo mkataba tajwa humu au kokote ukiachilia mbali ya amakubaliano ya awali. Kwa aliyenao ingependeza akaupandisha hapa ili tuanzne uchambuzi wa kweli kweli
Siko hapa kubishana na mtu. Na kama wewe ni moja kati ya wale wasioamini Matendo Makuu ya Bwana Mungu, Mungu wa Israeli basi pita kimya kimya tu.
Sitaki kusema mengi ila huu uzi tutaurejea miaka michache ijayo.
Kwamba walio wazima na wenye nyenzo zote anaondoka harafu watu waliokuwa wanyonge...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 15 leo Aprili 28, 2023.
Serikali imesema haiwezi kudhibiti bei ya mazao, bali inapunguza gharama za uzalishaji kwa wakulima pamoja na kuongeza tija kwenye uzalishaji ili wakulima waweze kupata faida baada ya gharama zao...
Mfumo wetu wa ajira nchini hasa ajira rasmi upo mikononi mwa wanasiasa. Leo wanasiasa wanaweza wakaamua Nani aajiriwe kwenye sekta binafsi au sekta ya umma. Wanasiasa pia wanaweza kuamua Nani afanye business Nani asifanye business. Kwa msingi huu wapo watu wawili Tu wenye uhakika wa ajira...
Habari wana JF,
Nimshauri ndugu Zitto Kabwe, kwamba raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanahitaji zaidi kusikia habari zinazohusu katiba mpya na sio gonjera zake hizo.
Wanasisasa wa nchii hii wabadilike, watangulize maslahi ya umma mbele kuliko kutanguliza maslahi yao binafsi...
Ninachoendelea kukiona Bungen ni kile nilichowahi kusema humu, Asilimia Kubwa ya Wabunge wetu aisee ni Vilaza sana, na pamoja na ukilaza, wengi wao ukilaza unawafanya wamchukie yule mtu ambaye anaonekana ni Mwenye Upeo mkubwa.
Jamani Ndugu zangu Wabunge, Kua Mbunge sio kupiga makofi, sio...
Ni Ibara ya 99 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Inabeba dhana ya utaratibu wa kutunga Sheria kuhusu mambo ya fedha. Ibara husika ina ibara ndogo 3. Tafadhali someni Ibara hii na mjiridhishe iwapo Wakili Msomi mwenzangu Tundu A.M. Lissu alikuwa sahihi au la kwenye hoja yake ya kuhusu...
Wanabodi,
Utangulizi: Hizi ni makala elimishi kutoa elimu ya uraia kwa watu wa kawaida kuijua katiba yetu ya JMT ya mwaka 1977.
Mtoa Mada ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea kutetea haki katiba na kujitolea kutoa bure elimu ya katiba...
Kwani tatizo ni kuwa na mikutano ya hadhara?
Tatizo ni namna inanvyovunja katiba ya ya JMT hasa ibara ya 30 ya katiba ya JMT inayotaka kutumia haki za kikatiba bila kuleta vurugu, kuathiri wengine n.k
Sasa hivi zitaanza vurugu ambazo zitasababisha watu wasifanye kazi, matusi na virungu kuanza...
Ishu vipi wakuu,
Kama swali linavyouliza hapo juu, narudia tena kuuliza. Je, serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaongozwa na kuendeshwa na Rais Samia au Waziri Mkuu Majaliwa?
Nauliza hivi kwa sababu kuna madudu mengi yanayofanywa na viongozi wa serikali ambao wengine ni wateule...
Leo watoto walitakiwa waone kwenye luninga historia ya taifa lao.
Lakini wewe na January mmekata umeme.
Kwa nini msituonee huruma japo hata kwa leo tu siku ya uhuru.
Watu wapo nyumbani wanahitaji kuangalia luninga na kujikumbusha na uhuru wa taifa lao
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua maandalizi mbalimbali ya Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho tarehe 07-08 Desemba, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
Kwa wale wabobezi wa jinsi Serikali ya JMT inavyofanya kazi mnaweza kutusaidia kutuelezea job descriptions za Rais na Mawaziri wake.
Na ikiwapendeza mnaweza kuongezea na zile za Wakuu wa Mikoa na Wilaya zetu. Nauliza hivi ili tusiyojua, tujue ni nani tumpongeze au tumlaumu punde viongozi hawa...
SALAM,
Leo naomba kumwandikia MAMA YETU KIPENZI MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN kama mwanaye na mwananchi mwenye UCHUNGU NA NCHI YAKE...
Mheshimiwa Rais, kwa hakika naomba kukiri kuwa toka umechukua nchi umetekeleza sera ya kuongeza fedha kwenye mzunguko yaani expansionary monetary and fiscal...
Mimi ni mwanachama wa CCM. Kwa sasa CCM ipo chini ya Samia ambaye pia ndio Rais wa JMT.
Kwa utaratibu waliojiwekea CCM ingawa haupo kwenye katiba ya chama au kanuni nyingine, mtu akiwa kwenye nafasi ya Urais kipindi cha kwanza, ni vizuri anaachiwa pia kipindi chake cha pili ili aweze...
Kuanzia Kagera mpaka sasa alipo mkoani Kigoma mama anaendeleza Kazi moja tu kuwaletea maendeleo watanzanaia.
Hospital ya rufaa Chato, Hospitali ya wilaya Kakonko, miradi ya maji, barabara na sasa hali ya uchumi imeimarika kwa kila Mtanzania.
2025 Twende na Rais Samia.
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu...
Kwa taifa letu katiba ndio mwanzo na mwisho juu ya uendeshaji wa nchi. Kugawa madaraka ya mihimili na kuwapa wananchi haki zao.
Hii ni kwa sababu taifa letu lina katiba iliyoandikwa. Yaani written Constitution.
Haina ubishi kuwa ni kwa mujibu wa katiba ya JMT mbunge akifutwa uanachama basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.