Mods Msitoe huu Uzi.
Serikali Juzi imefanya sherehe ya kurudisha mtiririko wa asili wa Mto Rufiji Kwa Kufunga geti la kupitisha maji katika diversion tunnel( njia ya mchepuko), sherehe zilizohudhuriwa na Rais wa Tanzania na zilizotumia gharama nyingi.
Ukweli uliopo Serikali haikuzindua kuanza...
Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza.
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema “Ujazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
Nilishangazwa Sana na kauli aliyoitoa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande, eti pamoja na mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere, kukaribia kukamilika, watanzania tutegemee mgao zaidi wa Umeme, Kwa kuwa mahitaji ya Umeme wa nchi hii ni Megawatt 60,000😎
Maneno hayo aliyatoa katika mjadala...
Taarifa muhimu kuhusu Mradi wa JNHPP zimeshindwa kuwekwa wazi licha ya kutambua kuwa Mradi huu ni wa watanzania na wala sio mali binafsi ya familia ya 'Watu wazuri hawafi"
Ni sababu zipi zilizosababisha watanzania washindwe kuambiwa Mradi utakamilika lini?
Ni sababu zipi zilisosababisha...
Kwa mliofanikiwa kufuatilia tukio la jana Disemba 22, 2022 la kuanza kujaza maji Bwawa la JNHPP wamesema mradi utakamilika lini. bahati mbaya mimi umeme ulikuwa umekatika sikuweza kufuatilia kwenye TV.
Hadi kufikia jana Naibu Waziri wa Nishati alisema Bunge lililopita la Novemba kuwa mradi...
Akizungumza na waandishi wa habari kutoka eneo la mradi huo uliopo katika bonde la mto Rufiji, Waziri wa Nishati, January Makamba amesema mpaka sasa ujenzi wa bwawa hilo umefikia asilimia 78.68 ambayo ni hatua ya awali ya kuanza kujaza maji na inategemewa kuchukua misimu miwili ya mvua iliyo...
bwawa la nyerere
bwawa la nyerere kujaa
january makamba
jnhpp
maji bwawa la nyerere
mradi bwawa la nyerere
tanesco
ujenzi bwawa la nyerere
umeme tanzania
Kama ulikuwa na shaka kuhusu ujenzi wa Bwawa la JNHPP kwamba litaanza lini kufanya kazi ya kuzalisha umeme, basi wakati wa kumaliza kabisa shaka zako umefikia tamati.
Serikali imesema kwamba kuanzia Disemba 15, 2022 itaanza kujaza maji kwenye bwawa hilon ambapo maji hayo yatajazwa hadi Aprili...
Awamu ya baba wa taifa na ile ya mzee ruhusa hakukuwa na changamoto la katika katika kwa umeme maeneo ambayo huduma hii ilikuwa imeyafikia. Ni kweli kwamba maeneo hayo yalikuwa hasa kwenye miji mikubwa ya nchi. Shughuli za kiuchumi wa viwanda hazikuwa nyingi kama ilivyo sasa ambapo tumesambaza...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amenukuliwa akiitupia lawama bodi ya wakurugenzi na menejimenti ya TANESCO iliyopita kwamba ndio imehusika kuhujumu mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere na kushindwa kukamilika kwa wakati kwa mujibu wa mkataba.
Kama itawapendeza wajumbe naomba...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametaja sababu za kuchelewa kwa mradi wa Bwawa la Nyerere kuwa ni utendaji mbovu wa Menejimenti ya Tanesco kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.
"Tuliamua kubadilisha menejimenti ya Shirika pamoja na Bodi na kuweka menejimenti mpya na bodi ambayo tunaamini...
4 Land Surveyors
Morogoro, Dar es Salaam
JVACEE, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP)
In joint venture with The Arab Contractors of Egypt (Osman A. Osman & Co.), ELSEWEDY ELECTRIC is entrusted by the people and government of Tanzania to execute, The Julius Nyerere Hydropower Project.
JOB...
Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue.
"Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote...
Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg. Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa.
Amesema bwawa hilo ni kubwa sana hivyo usalama wake unapaswa kuzingatiwa ktk hatua zote za ujenzi wake.
Ametolea mfano kuwa mabwawa ya...
J-V-A-C-E-E, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) is Urgently Looking for the Following Candidates to fill the available below Positions :-
Motor Grader Operator — 22 positions
Excavator Operator — 26 Positions
Soil Compactor Operator — 10 Positions
Soil Reclaimer Operator — 06...
Ripoti ya CAG inasema kwamba mkandarasi wa Mradi wa umeme wa Nyerere anaidai Serikali mabilioni kama fidia ikiwa ni kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika kumwezesha kutekeleza majukumu yake kimkataba.
Binafsi naona deni hilo ni batili kwani kimantiki. (Logically) hatupaswi kumlipa fidia...
MAFANIKIO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN TOKA AINGIE NADARAKANI
Mh.Rais Samia Suluhu Hassan:
Ameendelea kujenga Nchi kwa kuendeleza Miradi mikubwa ya Taifa kama ilivyoainishwa kwenye ILani ya CCM ya Mwaka 2020-2025,
Mradi wa Julius Nyerere Hydropoer Poject-JNHPP wa Megawatt 2115 umeendelea...
Hawa wahandisi wa mradi wa JNHPP wanamdanganya sana huyu waziri January Makamba kwa sababu yeye mambo ya sayansi ni mashikolo mageni. Eti tani 26 ni uzito mkubwa sana unaohitaji a special immobile crane kuunyanyua!
Mhuuuuu! Kweli? Kwa nini hawa wahandisi wanamfanyia hivyo Makamba? Mbona tani 26...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.