jnhpp

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Stereotype kuhusu Zoezi la ujazwaji maji Bwawa La Nyerere (JNHPP)

    Mods Msitoe huu Uzi. Serikali Juzi imefanya sherehe ya kurudisha mtiririko wa asili wa Mto Rufiji Kwa Kufunga geti la kupitisha maji katika diversion tunnel( njia ya mchepuko), sherehe zilizohudhuriwa na Rais wa Tanzania na zilizotumia gharama nyingi. Ukweli uliopo Serikali haikuzindua kuanza...
  2. Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022

    Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza. Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema β€œUjazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
  3. Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande asema pamoja na kukamilika kwa mradi wa Bwawa la Nyerere, watanzania tutegemee migao zaidi!

    Nilishangazwa Sana na kauli aliyoitoa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande, eti pamoja na mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere, kukaribia kukamilika, watanzania tutegemee mgao zaidi wa Umeme, Kwa kuwa mahitaji ya Umeme wa nchi hii ni Megawatt 60,000😎 Maneno hayo aliyatoa katika mjadala...
  4. Taarifa hizi za Mradi wa JNHPP zimefichwa kumlinda nani?

    Taarifa muhimu kuhusu Mradi wa JNHPP zimeshindwa kuwekwa wazi licha ya kutambua kuwa Mradi huu ni wa watanzania na wala sio mali binafsi ya familia ya 'Watu wazuri hawafi" Ni sababu zipi zilizosababisha watanzania washindwe kuambiwa Mradi utakamilika lini? Ni sababu zipi zilisosababisha...
  5. Mliofuatilia tukio la JNHPP wamesema mradi unakamilika lini?

    Kwa mliofanikiwa kufuatilia tukio la jana Disemba 22, 2022 la kuanza kujaza maji Bwawa la JNHPP wamesema mradi utakamilika lini. bahati mbaya mimi umeme ulikuwa umekatika sikuweza kufuatilia kwenye TV. Hadi kufikia jana Naibu Waziri wa Nishati alisema Bunge lililopita la Novemba kuwa mradi...
  6. Maji yatakayojazwa Bwawa la Nyerere (JNHPP) yanaweza kuzalisha Umeme kwa mwaka mmoja bila kutegemea mvua

    Akizungumza na waandishi wa habari kutoka eneo la mradi huo uliopo katika bonde la mto Rufiji, Waziri wa Nishati, January Makamba amesema mpaka sasa ujenzi wa bwawa hilo umefikia asilimia 78.68 ambayo ni hatua ya awali ya kuanza kujaza maji na inategemewa kuchukua misimu miwili ya mvua iliyo...
  7. KUMEKUCHA! JNHPP Kuanza kujazwa maji Disemba 15, 2022

    Kama ulikuwa na shaka kuhusu ujenzi wa Bwawa la JNHPP kwamba litaanza lini kufanya kazi ya kuzalisha umeme, basi wakati wa kumaliza kabisa shaka zako umefikia tamati. Serikali imesema kwamba kuanzia Disemba 15, 2022 itaanza kujaza maji kwenye bwawa hilon ambapo maji hayo yatajazwa hadi Aprili...
  8. Changamoto ya umeme nchini ilianza na Awamu ya Tatu, sasa ni mbaya zaidi. Kwanini maji ya Ziwa Victoria yasipelekwe hadi Mtera na JNHPP kupata suluhu?

    Awamu ya baba wa taifa na ile ya mzee ruhusa hakukuwa na changamoto la katika katika kwa umeme maeneo ambayo huduma hii ilikuwa imeyafikia. Ni kweli kwamba maeneo hayo yalikuwa hasa kwenye miji mikubwa ya nchi. Shughuli za kiuchumi wa viwanda hazikuwa nyingi kama ilivyo sasa ambapo tumesambaza...
  9. Januari aitupia zigo Menejimenti ya zamani ya TANESCO kuchelewa mradi wa JNHPP

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amenukuliwa akiitupia lawama bodi ya wakurugenzi na menejimenti ya TANESCO iliyopita kwamba ndio imehusika kuhujumu mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere na kushindwa kukamilika kwa wakati kwa mujibu wa mkataba. Kama itawapendeza wajumbe naomba...
  10. Januari ataja sababu za kusuasua kwa Mradi wa JNHPP

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba ametaja sababu za kuchelewa kwa mradi wa Bwawa la Nyerere kuwa ni utendaji mbovu wa Menejimenti ya Tanesco kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. "Tuliamua kubadilisha menejimenti ya Shirika pamoja na Bodi na kuweka menejimenti mpya na bodi ambayo tunaamini...
  11. 4 Land Surveyor Jobs at JVACEE, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP)

    4 Land Surveyors Morogoro, Dar es Salaam JVACEE, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) In joint venture with The Arab Contractors of Egypt (Osman A. Osman & Co.), ELSEWEDY ELECTRIC is entrusted by the people and government of Tanzania to execute, The Julius Nyerere Hydropower Project. JOB...
  12. Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

    Leo Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu wanaohoji kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP ni upuuzi tu na kama hawaamini majibu yake basi wamuue. "Ukisema Bwawa litachelewa kwa sababu hii na hii wanasema muongo huyo, mshenzi huyo basi njooni mniue basi kama hamuamini, wote...
  13. Nafasi 43 za kazi kwenye mradi Wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP)

    1) Motor Grader Operators β€”- 10 positions 2) Excavator Operators ——– 20 Positions 3) Bull Dozer Operators ——– 03 Positions 4) Pipe Fitters β€”β€”β€”β€”β€”β€”- 04 Positions 5) Supervisor Piping ———– 01 Positions 6) Supervisor HVAC β€”β€”β€”β€” 01 Positions 7) Wheel Loaders β€”β€”β€”β€”β€” 04 Positions Interested candidates...
  14. S

    Felchesmi Mramba: Bwawa la JNHPP ni mara 10 ya bwawa la Kidatu lililojengwa kwa miaka 5

    Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg. Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa. Amesema bwawa hilo ni kubwa sana hivyo usalama wake unapaswa kuzingatiwa ktk hatua zote za ujenzi wake. Ametolea mfano kuwa mabwawa ya...
  15. 64 Various Jobs at JVACEE, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP)

    J-V-A-C-E-E, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) is Urgently Looking for the Following Candidates to fill the available below Positions :- Motor Grader Operator β€” 22 positions Excavator Operator β€” 26 Positions Soil Compactor Operator β€” 10 Positions Soil Reclaimer Operator β€” 06...
  16. Deni la mabilioni linalotokana na kukosekana kwa umeme kwa mkandarasi JNHPP ni Batili

    Ripoti ya CAG inasema kwamba mkandarasi wa Mradi wa umeme wa Nyerere anaidai Serikali mabilioni kama fidia ikiwa ni kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika kumwezesha kutekeleza majukumu yake kimkataba. Binafsi naona deni hilo ni batili kwani kimantiki. (Logically) hatupaswi kumlipa fidia...
  17. M

    Mafanikio ya Rais Samia kwa miezi 9 tangu aingie Madarakani

    MAFANIKIO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN TOKA AINGIE NADARAKANI Mh.Rais Samia Suluhu Hassan: Ameendelea kujenga Nchi kwa kuendeleza Miradi mikubwa ya Taifa kama ilivyoainishwa kwenye ILani ya CCM ya Mwaka 2020-2025, Mradi wa Julius Nyerere Hydropoer Poject-JNHPP wa Megawatt 2115 umeendelea...
  18. Makamba usikubali kuchezewa wala kudanganywa na hao wahandisi wa JNHPP. Tani 26 si nzito kama wanavyokudanganya

    Hawa wahandisi wa mradi wa JNHPP wanamdanganya sana huyu waziri January Makamba kwa sababu yeye mambo ya sayansi ni mashikolo mageni. Eti tani 26 ni uzito mkubwa sana unaohitaji a special immobile crane kuunyanyua! Mhuuuuu! Kweli? Kwa nini hawa wahandisi wanamfanyia hivyo Makamba? Mbona tani 26...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…