job ndugai

Mr. Job Yustino Ndugai (born 21 January 1960) is a Tanzanian politician who has been Speaker of the National Assembly of Tanzania since November 2015. Previously he was Deputy Speaker from 2010 to 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Linguistic

    Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya James Mbatia kupinga mchakato wa Job Ndugai kujiuzulu Uspika

    Kesi ya Kikatiba namba 2 ya Mwaka 2022 imeshaanza kusikilizwa hapa Mahakama Kuu upande wa Jamhuri unawakilishwa na Jopo la mawakili wafuatao. 1. Gabriel P Malata - Solister General (Wakili Mkuu wa Serikali) 2. Mack Lwambo 3. Mussa Mura 4. deodatusi Nyoni 5. Konsiano Lukosi 6. Hangi Chana 7...
  2. Zanzibar-ASP

    Magufuli alipofariki dunia tu, Samia akachukua Urais. Ndugai alipoanguka tu, Tulia akawa Spika. Wanawake wa CCM wamejipanga!

    Linapokuja suala la mali au madaraka huenda kundi la wanawake ndio kinara wa kuvuna kirahisi sana, iwe kwa haki au kwa hila, wanawake ni wavunaji tu. Wakati watawala wa CCM walipokuwa wanawapanga wanawake kwenye safu mbalimbali za uongozi kama alama ya ujanja ujanja ya kuwatumia ili kuimarisha...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Leo Magufuli hayupo madarakani, Wapinzani hawapo bungeni, Job Ndugai sio Spika tena na Prof. Asaad sio CAG tena

    Nature imetenda haki. Hii ni hotuba ya Kambi ya Upinzani bungeni ambayo Job Ndugai na Magufuli hawakutaka kabisa isomwe ili wananchi wajue mauvundo, dhuluma na mauchafu wanayofanyiwa. HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA...
  4. Pascal Mayalla

    Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Jumapili ya leo. Siku zote, nabii huwa hakubaliki nyumbani, lakini sote tunakubali kuwa Mungu siku zote huwa anazungumza na watu wake, kupitia manabii, na nabii anaweza kuwa mtu yoyote hata usiyemtegemea. Japo mimi sii miongoni mwa manabii hawa wa Mungu, lakini...
  5. Kasomi

    Mfahamu Job Yustino Ndugai

    Job Yustino Ndugai (amezaliwa 21 Januari 1960) ni mbunge wa jimbo la Kongwa katika bunge la kitaifa nchini Tanzania. Anatokea katika chama cha CCM. Tangu tarehe 17 Novemba 2015 hadi 6 Januari 2022 alikuwa Spika wa Bunge la Tanzania. Baada ya kuingia katika ugomvi na rais Samia Suluhu Hassan...
  6. Ta Muganyizi

    Job Ndugai popote ulipo, kaa kwa kutulia na uwe na amani. Watanzania waanaamini hivi

    Mh. Job Ndugai. Baada ya kujiuzulu vyombo vyote vya habari vikiongelea suala lako. Iwe BBC, VoA, DW na vi-fm vyetu huku mtaani habari ilikuwa ni Ndugai. Kwanini nasema ukae kwa kutulia, watu wengi huku mitaani kwetu ukiwauliza kwanini Job aliondoka wanajibu moja matata sana. Wanasema ulimkosoa...
  7. Ngamanya Kitangalala

    Kwanini Job Ndugai amejiuzulu Uspika?

    KWA NINI MHESHIMIWA NDUGAI AMEJIUZURU Katika siku za karibuni nchi yetu imepatwa na moja ya tukio kubwa kabisa katika medani za uongozi wa kisiasa, tukio hilo ni ile hatua ya aliyekuwa Spika wa Bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Job Yustino Ndugai kujiuzuru nafasi...
  8. J

    Tusidanganyane: CCM ina Wenyewe na CHADEMA ina wenyewe pia, angalia Job Ndugai na Mchungaji Msigwa Walivyofokewa

    CCM imeshatangaza mchakato wa kumpata Spika mpya wa bunge la JMT kupitia chama hicho baada ya kumfurusha " Wakuja" Job Ndugai. Mchungaji Msigwa akajaribu kuwafundisha CCM ni nani atayefaa kuwa Spika mpya ili kuleta mshikamano bungeni lakini akafokewa na kuagizwa " KUFUTA" mara moja huo ushauri...
  9. Idugunde

    Job Ndugai watanzania wanataka kufahamu ukweli, itisha press conference. Eleza ukweli, tatizo ni mkopo au urais?

    Mpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania. Kama una nia ya kugombea urais napo hauna kosa maana ni haki yako ya kikatiba. Sasa, watanzania...
  10. Chance ndoto

    Phone4Sale I Phone 11 Pro Max

    Nauza i phone 11 promax 1,500,000/- tu 📍iPhone 11 Promax 🔋 Bettry Health 100% Up ⚙️64gb 💵 1,500,000Tsh _________________ 📍Ubungo dsm 🇹🇿 ☎️0783985530
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Job Ndugai alimuwashia moto Prof. Assad tarehe kama ya leo

    Tarehe kama ya leo 7 Januari,2019 aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai alimtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge siku ya Januari 21, 2019 kwa hiari kwa ajili ya kuhojiwa, vinginevyo angepelekwa kwa pingu. Spika...
  12. beth

    Bunge: Taratibu za Uchaguzi wa Spika zinaendelea. Wabunge kurejea Dodoma Januari 31, 2022

    Bunge limesema taratibu za Uchaguzi wa kujaza nafasi ya Spika iliyo wazi baada ya Job Ndugai kujiuzulu zinaendelea Kamati zilizokuwa zikutane kuanzia Januari 10 pamoja na zile zilizotakiwa kukutana kuanzia Januari 17, 2022 hazitakutana wakati huo Badala yake zitakutana wakati wa Mkutano wa...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko

    Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko. Nilichogundua kwenye ile hotuba ni kwamba Ndugai alikuwa amejiandaa kwamba liwalo na liwe. Alikuwa ameamua kutoa yake ya moyoni. Amezungumza ukweli, na umemweka huru.
  14. ubongokid

    Job Ndugai ni Shujaa wa Historia-Anatuonesha Matobo na Udhaifu wa Samia Suluhu

    Ndugu zangu; Kila nchi inakopa,na kila mkopo lazima utumike kikamilifu.Hata hivyo hii mikopo ambayo tunaaminishwa kwamba imetumika vizuri ni changa la macho. IKO hivi.Idadi ya watu Tanzania ni Chini ya Milioni 60.Idadi ya shule ni chini ya elfu 20.Trilioni moja ni sawa na Bilioni 1000.Kamata...
  15. tpaul

    Haitoshi, Job Ndugai ajiuzulu na ubunge pia!

    Pamoja na kuwa muungwana na kuamua kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa bunge la JMT, kuna uwezekano mkubwa Job Ndugai akajiuzulu nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM kwani ubunge wake ndio ulipelekea kuchaguliwa na wabunge wenzake kuwa spika wa bunge. Hivyo basi, itakuwa...
  16. Roving Journalist

    Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itapigwa mnada kutokana na madeni Amesema ameandika Barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni...
  17. G Sam

    Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

    Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa. Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu...
  18. kavulata

    Spika Ndugai awe Muungwana, ajiweke pembeni

    Imani huzaa Imani na hofu huzaa hofu. Kwasasa Rais hana Imani tena na Spika, ana hofu na Spika na kundi lake ambalo hajui wako wangapi, ni akina nani, wako wapi na wanapanga nini na nini lini na wapi dhidi yake. Hofu hii imesababishwa na mtu mzito sana kwenye nchi anaepigiwa salute na vyombo...
  19. Yericko Nyerere

    Tukiacha ushabiki wa kivyama na Unafiki, Hoja ya Spika haijajibiwa

    Tukiacha ushabiki wa kivyama na kujipendekeza (unafiki), Licha ya kila mtu kujitokeza kujaribu kujibu hoja ya Spika Ndugai ama kuizungumzia hoja hiyo, na hata Serikali (Rais) ameitisha mkutano wa kidola nikidhani anajibu hoja, badala yake wamejikuta wanamjadili Ndugai ama kumdhihaki ama...
  20. J

    CCM haiwezi kushinikiza akina Halima Mdee waondoke na Ndugai kwa sababu Chadema bado haijasikiliza rufaa zao!

    Kwanza majina ya akina Halima James Mdee na wenzake yalipelekwa bungeni na Dr Mahela wa NEC akidai amepewa na Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika. Pili Chadema walipokea rufaa za hao covid 19 ila bado hawazitolea maamuzi kwa mujibu wa katiba yao. Hivyo CCM ishughulike na mwanachama wake Job...
Back
Top Bottom