Imani huzaa Imani na hofu huzaa hofu.
Kwasasa Rais hana Imani tena na Spika, ana hofu na Spika na kundi lake ambalo hajui wako wangapi, ni akina nani, wako wapi na wanapanga nini na nini lini na wapi dhidi yake. Hofu hii imesababishwa na mtu mzito sana kwenye nchi anaepigiwa salute na vyombo...