job

  1. E

    Job Ndugai katuachia laana

    Upo uwezekano wa vizazi vitakavyokuja huko mbeleni kumuona job ndugai shujaa aliyekataliwa na jamii nzima. Hebu fikiria miaka kadhaa ijayo wajukuu wetu watakuta hali gani ya madeni na maendeleo kiasi gani? Ikiwa watakuta nchi yetu ina madeni makubwa sana na huku maendeleo hakuna watarudi...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Job Ndugai alimuwashia moto Prof. Assad tarehe kama ya leo

    Tarehe kama ya leo 7 Januari,2019 aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai alimtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge siku ya Januari 21, 2019 kwa hiari kwa ajili ya kuhojiwa, vinginevyo angepelekwa kwa pingu. Spika...
  3. The Bleiz

    Job Ngugai, Spika aliyejiuzulu atalipwa 80% ya Mshahara wa Spika maisha yake yote

    1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote. 2. Gari la VX V8 ni lake binafsi. 3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote. 4. Mafuta ya gari lake lita sabini kila week. 5. Kiinua mgongo 50% ya fedha alizowahi kulipwa mshahara tangia aapishwe kuwa...
  4. Naipendatz

    All Parliament activities, including parliamentary committee meetings, have been SUSPENDED in Tanzania following Speaker Job Ndugai's resignation

    All Parliament activities, including parliamentary committee meetings, have been SUSPENDED in Tanzania following Speaker Job Ndugai's resignation, according to the constitution. First order of business when Parliament resumes on Feb. 1, 2022, will be the election of a new Speaker. Source: TBI
  5. Meneja Wa Makampuni

    Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko

    Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko. Nilichogundua kwenye ile hotuba ni kwamba Ndugai alikuwa amejiandaa kwamba liwalo na liwe. Alikuwa ameamua kutoa yake ya moyoni. Amezungumza ukweli, na umemweka huru.
  6. ubongokid

    Job Ndugai ni Shujaa wa Historia-Anatuonesha Matobo na Udhaifu wa Samia Suluhu

    Ndugu zangu; Kila nchi inakopa,na kila mkopo lazima utumike kikamilifu.Hata hivyo hii mikopo ambayo tunaaminishwa kwamba imetumika vizuri ni changa la macho. IKO hivi.Idadi ya watu Tanzania ni Chini ya Milioni 60.Idadi ya shule ni chini ya elfu 20.Trilioni moja ni sawa na Bilioni 1000.Kamata...
  7. Pascal Mayalla

    Msameheni bure Job Ndugai, amechanganyikiwa baada ya kuomba msamaha batilifu uliokataliwa! Barua yake ya Kujiuzulu nayo pia ni batilifu!

    Wanabodi, Naomba kuanza kwa declaration of Interest Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wachache waliowahi kuitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa maandiko yangu, ya kulituhumu Bunge kujipendekeza kwa serikali, hivyo inaweza kuonekana nafurahia kinachompata Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai!. No...
  8. TODAYS

    Ummy Mwalimu ameamua kumnanga Job Ndugai huko twitter

    Hii tweet imenifanya kucheka sana hasa baada ya kusoma reply zake 😂...
  9. tpaul

    Haitoshi, Job Ndugai ajiuzulu na ubunge pia!

    Pamoja na kuwa muungwana na kuamua kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa bunge la JMT, kuna uwezekano mkubwa Job Ndugai akajiuzulu nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM kwani ubunge wake ndio ulipelekea kuchaguliwa na wabunge wenzake kuwa spika wa bunge. Hivyo basi, itakuwa...
  10. G Sam

    Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

    Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa. Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu...
  11. Stuxnet

    Imethibitika Uwezo wa Kiuongozi wa Job Ndugai ni Mdogo Sana; Je Alipatikanaje?

    Tazama haya machache; 1. Kumpiga Chilongani mgonbea mwenzie kwenye kura za maoni CCM Kongwa 2015 2. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19 3. Kumrudisha Cecil Mwambe wa CHADEMA ambaye alikuwa amejivua uwanachama mwaka 2020 4. Kuwakumbatia...
  12. TODAYS

    Kwa hali hii; Je, Job anaweza kumuwahi boss wake kwa ile kura ya veto?

    Hali si shwari kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii toka camarada Legendary Pombe alipotoweka dunia. Pamoja na kuwa katika wakati mgumu kufuatia kushusha siraha nchini na kuonyesha udhaifu kwenye mhimili mwingine. Kwa nafasi aliyonayo dhidi ya ule muhimili anaousimamia japo tayari yupo under...
  13. Ileje

    Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

    Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025. Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa...
  14. M

    Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

    Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais, =========== Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani...
  15. MAHANJU

    Niwaulize wanaccm wenzangu, kwani Spika Job Ndungai amekosea nini?

    Mimi nashindwa kuelewa sijui hua ni ibilisi gani anatua kwenye chama chetu? Niwaulize tena wanaCCM wenzangu,Spika Job Ndungai amekosea nini kiasi cha kumtolea maneno makali katika kila angle ya nchi? Binafsi sijawahi kumpenda bayana Ndungai kutokana kejeli zake bungeni, sikuwahi kumpenda kwa...
  16. S

    Kuna anayefahamu uhalali wa Job Junction?

    Habari wana JamiiForums, Kuna mtu anifahamu hio kampuni "JOB JUNCTION"? Niliona wametuma kazi nikaaply, kufika wananiambia wao ni recruitment agency kazi yao ni kuwaunganisha wanaotafuta kazi na waajiri then ukipata kazi unawapa 30% ya mshahara wa kwanza. Cha kushangaza et wanasema kuna...
  17. Jamii Opportunities

    JOB OPPORTUNITIES: The Centre of Excellence in Health Monitoring and Evaluation (COEHME)

    A: Background The Centre of Excellence in Health Monitoring and Evaluation (COEHME) housed in the School of Public Administration and Management (SOPAM at Mzumbe University was established in 2015. The aim of COEHME is to coordinate and implement health monitoring and evaluation activities...
  18. Jamii Opportunities

    Job Opportunities at SFI Tanzania Ltd

    1. Excavator Operator Position: Excavator Operator SFI Tanzania Ltd, an agriculture and forestry investment company based in Korogwe and Handeni districts, Tanga has a vacancy available for a qualified, professional and dynamic Excavator Operator. Job Location: Kwamdulu & Kwaraguru Estate...
  19. M

    Spika Job Ndugai ang'ara Inter -Parliamentary Union (IPU)

    TANZANIA YANG'ARA KIMATAIFA, YAUNGWA MKONO NA NCHI 179 IPU Bunge la Tanzania laing'arisha Afrika kwenye mkutano wa Bunge la Dunia kwa kuwasilisha hoja ya dharura (Emergency Item) Kuhusu usawa (equity) wa upatikanaji wa Chanjo ya Corona kwa Nchi za Afrika iliyoungwa Mkono na Bunge hilo na...
  20. Jamii Opportunities

    Intern – Legal Affairs, I (Temporary Job Opening) at United Nations/IRMCT

    Org. Setting and Reporting The Office of the Prosecutor of the United Nations International Residual Mechanism for Criminal Tribunals (“Mechanism”) invites applications for legal internships starting 01 December 2021 in Arusha, Tanzania. The above job opening will be valid for one year and...
Back
Top Bottom