job

  1. George Job: Simba haiwezi mechi za mtoano

    Mchambuzi wa michezo kutoka Wasafi Fm, George Job amesema klabu ya Simba bado haijajiandaa vema katika mechi za mtoano. Kikosi cha Simba ilkinaweza kupambana vizuri kwenye mechi za makundi ila linapokuja suala la mechi mbili za mtoano hapo ndipo ulipo mtihani kwa Simba SC. Kwa kauli hiyo ni...
  2. Hatimaye Job Ndugai arejea Bungeni leo Aprili 13, 2022

    Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (kushoto) leo Aprili 13, 2022 amehudhuria kikao cha kwanza cha Bunge tangu kujiuzulu wadhifa huo Januari 6, 2022. Pichani akiteta jambo na Mbunge wa Ushetu, Emmanuel Cherehani. Chanzo: TBC online
  3. M

    Job vacancy in Kenya

    St patrick hill schools invites qualified applicants for english/lit and biology/chemistry .Working hours 7-5 pm.There are two lessons per week 6-7pm and two 6-7 am .Housing provided single rooms .Food provided.Saturday is a working day and Sunday if on duty. Salary 17,000kes gross per month no...
  4. Bunge laulizwa alipo Job Ndugai, lasema halina taarifa alipo, inawezekana yupo jimboni kwake

    Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai. Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
  5. Job Ndugai ulimnanga Lissu; sasa jitokeze utuambie legacy yako ni ipi

    Hello JF Niende kwenye mada straight, ni wakati muafaka Jobo Ndugai aweke hadharani legacy yake ya uspika na ya kibunge huko kongwa sambamba na oanisho la kumnanga ndugu Lissu kuhusu ubunge wake wa miaka10 huko Singida Mashariki kwamba hakuacha legacy yoyote. Baada ya kuachia kiti cha uspika...
  6. Natafuta kazi (part time job)

    Mimi ni binti wa miaka 22 natafuta kazi part time job, ambayo nitaifanya baada ya kumaliza vipindi vyangu vya chuo na ambayo nitaifanya weekend, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na chuo changu Kiko dar es salaam posta. Tafadhali wanajamiiforums nisaidieni
  7. Job vacancy: Maintenance Planner at Coca-Cola Kwanza

    Closing Date 2022/03/23 Reference Number CCB220309-7 Job Title Maintenance Planner Job Category Manufacturing Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type Permanent Location - Country Tanzania Location - Province Not Applicable Location - Town / City Dar es Salaam Job...
  8. Job Opportunities at Qatar Charity

    About the job Qatar Charity, headquartered in Doha/Qatar is a non-profit, non-governmental organization active in more than 40 countries in Asia, Europe and Africa. The Qatar society was expressing a deep willingness to contribute to the international solidarity chain and to participate in...
  9. Job Position(2)- Hardware Engineer at Wassha Inc

    1. JOB INFORMATION Organization: Division: Wassha Inc. Tanzania Branch Operation Department: Workstation: Engineering Department Dar es salaam, Mwanza, Mbeya and Dodoma Job Title: Hardware Engineer Number of Position: 2 (Two) Reports to: Direct Reports (Subordinates): Hardware Engineering...
  10. E

    Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela. Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana. Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma? Acha tuone.
  11. Hili la Job Ndugai kutoonekana hadharani lazima liwekwe wazi yasije kutokea yaliyotokea mwaka jana

    Mara mwisho ni pale alipoonekana akiwa amepiga picha na Rais Samia Suluhu Ikulu ya Chamwino Dodoma. Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa. Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job...
  12. Mashabiki waiponza Yanga, yapigwa faini, Dickson Job AFUNGIWA MECHI TATU, refa wa Simba naye ametumbuliwa

    Mashabiki waiponza Yanga, yapigwa faini, Dickson Job AFUNGIWA MECHI TATU, refa wa Simba naye ametumbuliwa
  13. Job Opportunities at Tanzania Home Economics Association

    Background Tanzania Home Economics Association (TAHEA) is a national professional organization of nutritionist, home economics, agriculturists and other related social science professions. TAHEA envisions ‘A democratic society with better living Conditions’; with the Mission to improve the...
  14. Yupo wapi Spika Mstaafu, Job Ndugai?

    Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtangulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja! Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani...
  15. Software Developer, looking for a job

    Kama title inavyojieleza, nina uzoefu wa kutosha usiopungua miaka mitatu (work experience), kwa sasa natafuta kazi party time au contract Skills PHP (Laravel, Wordpress theme &plugin development, OOP) Javascript ( Vue.js, React.js, Jquery) Docker, Git, Jira, Bash scripting, comfortable with...
  16. Job Opportunities at SOS Children's Villages Tanzania

    Overview SOS Children's Villages Tanzania is a local non-government organization affiliated to Sos Children's Villages International, a worldwide child care organization that provides orphaned and destitute children with a permanent home and educational opportunities. Established 60 years ago...
  17. Leo Magufuli hayupo madarakani, Wapinzani hawapo bungeni, Job Ndugai sio Spika tena na Prof. Asaad sio CAG tena

    Nature imetenda haki. Hii ni hotuba ya Kambi ya Upinzani bungeni ambayo Job Ndugai na Magufuli hawakutaka kabisa isomwe ili wananchi wajue mauvundo, dhuluma na mauchafu wanayofanyiwa. HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA...
  18. Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma

    Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino. Pia soma; Spika Job...
  19. Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
  20. Yuko wapi Job Ndugai kuisawazisha hii sintofahamu?

    Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa. Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…