Wadau, hii story ya Njoro, Nakuru County imeacha watu wengi na maswali kuliko majibu. Over 60 girls wame-rescued kutoka kwa nyumba moja Bondeni wakiwa wamefungiwa kwa miezi wakisubiri kuenda Gulf for jobs. Lakini mambo haikuwa kawaida.
According to reports, the girls were living in overcrowded...