Wadau, hii story ya Njoro, Nakuru County imeacha watu wengi na maswali kuliko majibu. Over 60 girls wame-rescued kutoka kwa nyumba moja Bondeni wakiwa wamefungiwa kwa miezi wakisubiri kuenda Gulf for jobs. Lakini mambo haikuwa kawaida.
According to reports, the girls were living in overcrowded, unhygienic conditions, na walikuwa wanatishwa na hata assaulted wakijaribu kuuliza kuhusu safari zao. Hii sasa ni job opportunity ama ni trafficking in disguise?
Police walifanya raid after distress call kutoka kwa mmoja wao. Inasemekana hii place ilikuwa inarun kama “hostel” ya job seekers, lakini licenses zingine zilikuwa zime-expire since December 2025. So swali ni how was it still operating?
Wengine wanasema maybe ni misunderstanding, hata lawyer mmoja amesema hakuna proof ya torture bado. Lakini ukweli ni 67 girls hawafungiwi tu bila reason.
Are desperate job seekers being exploited?
Serikali iko wapi kwa regulation ya these agencies?
Na hawa wasichana watapata justice kweli?
Hii ni issue kubwa sana especially wakati youth wengi wanatafuta greener pastures abroad.
Wadau, mnasemaje opportunity gone wrong ama organized exploitation?
Source: Eastleigh.co.ke