Mwaka wa 1950 timu dhaifu ya USA ilipanda mtumbwi na kuvuka bahari ya Atantic kuingia nchini Brazil kushiriki kombe la dunia la tatu.
SIku chache kabla ya kwenda baharini kocha wa Marekani alimchukua mwanafunzi wa chuo na muosha vyombo mahotelini viunga vya Brooklyn, New York, JOE GAETJENS...