Stockton Deepwater Shipping Channel also called the Baldwin-Stockton Deepwater Shipping Channel or Stockton Deep Water Channel is a manmade deepwater water channel that runs from Suisun Bay and the Sacramento River - Sacramento Deep Water Ship Channel to the Port of Stockton and the Stockton Channel in California. The Stockton Ship Channel is 41 mi (66 km) long and about 37 ft (11 m) deep, allowing up to Panama Canal size ocean ships access to the Port of Stockton at the City of Stockton. The Stockton Deepwater Shipping Channel is part of the vast Sacramento–San Joaquin River Delta that has a connection to the Pacific Ocean. Stockton Deepwater Shipping Channel is also called the lower San Joaquin River.
Hatimaye Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) John Bayo Ajiuzulu.
John Bayo amejiuzulu baada ya kusakamwa na Sakata la Vyeti Feki, ingawa yeye amedai amejiuzulu ili awe busy na familia na biashara zake.
Rais wa RT, Silas Isangi amekiri kupokea barua ya kujiuzulu kwa...
Mapema mwaka huu wakati wa Tulia Marathon, John Bayo alialika raia wa Kenya kinyume cha utaratibu kwa kuandika barua kwenda Athletics Kenya aki-forge sahihi ya aliekua Kaimu Katibu Mkuu wa RT Bi Ombeni Zavala. Baadae Bi Zavala aliikana barua hiyo na kusema kua ni Makamu wa Rais wa RT John Bayo...
WAKATI sakata la sifa za kielimu la Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo likizidi kuchukua hatua tofauti, shirikisho limedai linatarajia kufanya mabadiliko ya katiba yake.
RT ilifanya uchaguzi wake mapema mwaka huu, baada ya kufanyika kwa mabadiliko ya katiba, ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.