Nguli Maarufu wa Mieleka kutoka Nchini Marekani John Cena hatimaye ametangaza kuwa sasa amestaafu rasmi kucheza Mchezo huo baada ya Kudumu Kwa Miaka 25, akibeba Mataji kibao ya Mikanda katika Mchezo huo.
John Cena alishutukiza Mashabiki kwenye Ukumbi na kote Duniani baada ya Kutoa tangazo hilo...