DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Nguli Maarufu wa Mieleka kutoka Nchini Marekani John Cena hatimaye ametangaza kuwa sasa amestaafu rasmi kucheza Mchezo huo baada ya Kudumu Kwa Miaka 25, akibeba Mataji kibao ya Mikanda katika Mchezo huo.
John Cena alishutukiza Mashabiki kwenye Ukumbi na kote Duniani baada ya Kutoa tangazo hilo, ambapo mashabiki wengi uwanjani hapo walionekana kutokubaliana na Uamuzi huo Mgumu wa Nguli huyo.
Utakumbuka nini kutoka kwa Nguli huyu??
Pia Soma: John Cena Atangaza Kustaafu Kucheza Mieleka (WWE) Ifikapo 2025