john kennedy

  1. The Supreme Conqueror

    FBI yadai kupata ushahidi mpya mauaji ya Rais John Kennedy

    Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) limesema limepata ushahidi mpya kuhusu mauaji ya aliyekuwa Rais wa Marekani, John F. Kennedy, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Donald Trump. FBI imesema imepata nyaraka mpya 2,400 zinazohusiana na ushahidi wa mauaji hayo, na tayari imeanza...
  2. Makonde plateu

    Trump avalia njuga mauaji ya john Kennedy

    𝐉𝐄! 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐌𝐏𝐘𝐀 𝐖𝐀 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀 𝟐𝟎𝟐𝟓 𝐍𝐀𝐘𝐄 𝐀𝐓𝐀𝐕𝐀𝐋𝐈𝐀 𝐍𝐉𝐔𝐆𝐀 𝐔𝐓𝐄𝐊𝐀𝐉𝐈 𝐖𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐍𝐀 𝐒𝐎𝐊𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐔𝐀𝐉𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐙𝐄𝐄 𝐊𝐈𝐁𝐀𝐎? Trump ametia saini amri ya kufichuliwa kwa nyaraka kuhusu kuuawa kwa Rais John F Kennedy, kaka yake Bobby Kennedy na Mwanaharakati mashuhuri Martin Luther King. Kwa uelewa wangu na kusoma kwangu...
  3. BLACK MOVEMENT

    Azam TV, kwamba Robert F. Kennedy ni mtoto wa John F Kenedy?

    Asilimia 99.8 ya Watangazaji wa hizi media za sasa ni weupe sana vichwani, wao mada wanazo zijua ni za kusifia na kuabudu na pia Mada za Yanga na Simba. Nje ya Mada za Yanga na Simba na Mada za kusifia hawa watangazaji ni weupe sana vichwani na sijui wanapatikana vipi. Media zimejaa vipindi vya...
Back
Top Bottom