John McAfee alizaliwa nchini Uingereza mnamo Septemba 18, 1945. Wazazi wake walihamia Roanoke, Virginia, alipokuwa mdogo. Mnamo 2012 McAfee alisema kuwa baba yake alikuwa mlevi na alikuwa akimtesa mama yake.
Wakati McAfee akiwa na umri wa miaka 15, baba yake alikufa kwa kujiua.
Alikuwa...
John McAfee amekuwa akiwa amefariki katika chumba kimoja cha Gereza katika Jiji la #Barcelona, Uhispania
Umauti umemkuta saa chache baada ya Mahakama Nchini humo kuamua kumsafirisha hadi Marekani ili akashtakiwe kwa makosa ya kukwepa kodi
Taarifa za awali zinaeleza uwezekano wa John #McAfee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.