john mongella

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu John Mongella Akinukisha Bariadi

    GTs, Ndugu Mongella amesema Mwenyekiti awaachie vijana washughulike na wakosoaji wake awaita hawana akili. Maana yake sijui tutegemee nini sasa kwa akina Mpina na Gwajiboy?
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mongella awataka Wanachama wa CCM kudumisha amani kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu John Mongella, amewataka wanachama wa chama hicho kudumisha amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Akizungumza, Machi 24, 2025, jijini Arusha kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, Mongella...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ufadhili wa masomo chuoni wa kumalizia mwaka mmoja uliobaki

    Habari wana Jamiiforum, Mimi ni mwanafunzi wa diploma in diagnostic radiography mwaka wa tatu. Naomba msaada kwa taasisi au mtu binafsi mwenye uwezo wa kunilipia ada ili niweze kumalizia mwaka wangu wa mwisho wa masomo au kama kuna hospital yoyote inaweza kunisaidia tuingie nao mkataba...
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mongela: Tunaingia kwenye uchaguzi na uhakika wa ushindi

    Wakati vyama na wadau wakianza kujiweka mguu sawa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika baadaye mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kina uhakika wa kupata ushindi wa kishindo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu (CCM-Bara), John Mongella baada ya kupokea taarifa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…