TAARIFA KWA UMMA
Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana katika kikao chake maalum cha siku mbili kuanzia juzi tarehe 11 mpaka 12 Machi 2025 ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu imefanya uteuzi wa Wakurugenzi kwa mujibu wa ibara ya 7.7.16 (b) na Wataalamu mbalimbali wa Makao Makuu...
Wakuu,
Kunazidi kuchangamka!
===
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) taifa, John Pambalu amewashauri wanachama wa chama hicho kuacha kupambana kisiasa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira kwa kudai...
Ukisikiliza quotes za kujifariji za kijana wa CHADEMA John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA, inaonesha hali mbaya sana ya hawq vijana wa CHADEMA anafanya quotations za watu maarufu ambao kwa sasa wako kuzimu na hawewezi kumtia tumaini lolote huku dubwana na beberu Mbowe likiwa meza kuu...
Amani iwe nanyi waungwana
Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa?
Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye
Kijana ana nondo ni balaa
Kamchana chana Mbowe kama karatasi
Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan...
Mwenyekit wa Bavicha mwalimu John Pambalu atastaafu rasmi 13 January, 2025 baada ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
Ameandika ukurasani X
Sabato njema
Anaandika mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu katika ukurasa wake wa x
--
Kumbukeni tuna chama cha kujenga baada ya uchaguzi. Udhaifu wa usiyemuunga mkono haumfanyi unayemuunga mkono kuwa kiongozi bora. Kiongozi bora anatetewa na tunu, maono na kipaji cha uongozi alichojaliwa na sio...
Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu amesema amepita kwenye ofisi kadhaa huko Newala na kukuta ofisi zimefungwa. Akitolea mfano Kijiji cha Mnyambe, Kata ya Mnyambe ambapo mpaka saa saba mchana, msimamizi wa uchaguzi alikuwa amefunga ofisi na kukimbia. Ameongeza kuwa mgombea kupitia CHADEMA...
Ni jambo la kushangaza na kustua kidogo kuona chama kikuu cha upinzani kinàandaa maandamano ambayo wahudhuriaji wakubwa ni vijana lakini hatukuona mwenyekiti wa taifa wa baraza la vijana John Pambalu akijiusisha kwa lolote kuanzia kwenye hamasa mpaka ushiriki.
Chadema kuna shida kubwa sana.
Jana Mchana DW SWAHILI katika Kipindi cha meza ya Duara waliwaalika wanasiasa watatu nchini Tanznaia akiwemo John Pambalu Mwenyekiti wa BAVICHA, Steven Wasira Kada wa CCM, na Abdul Nondo Mwenyekiti ngome ya vijana ACT.
Walikuwa wana mjadala kuhusu 4RS za Rais samia kama zinaishi ama zimejifia...
CHADEMA wapo kuvunja vunja hoja, umoja na Malengo ya upinzani.
Wao ni kuponda, kukebei, na kutukana kila anayeshindwa kufanya jambo kama wao wanavyotaka au aliyekosea.
1. CHADEMA wao Wote walifurushwa bungeni kwa nguvu ya dola je nani aliwabeza hahaha.
2. Wabunge wenu Akina mdee mpaka leo...
Nchi haitaki watu wenye akili kubwa kuliko watoto wa viongozi wakuu wa nchi. Viongozi waandamizi wanatamani wangezaa watoto kama John Pambalu lakini bahati haikuwa yao. Wao wamebahati kuzaa watoto wanaofundishwa siasa na maisha wakati wakina Pambalu uzaliwa na akili ya kipaji.
Vipaji vingi vya...
Mhe. Rais tarehe 28.04.2023 nilikuandikia makala yangu niliyoipa jina la "Sikiliza mama", katika makala ile nilieleza namna ambavyo utawala wako umeshindwa kutatua kero na matatizo ya wananchi, nilidhani wasaidizi wako wangechukua yenye heri wakushauri walibaki kunishambulia tu.
Mfano Dr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.