Kimpira ni jambo la manufaa sana. Itapendeza siku moja uwanja wa Jamhuri uwe na hadhi ya CAF. Ila kitechnical ni sahihi viti vya uwanja wa umma kupelekwa uwanja binafsi?
====
Meneja wa Uwanja wa Jamhuri uliopo Mkoani Morogoro, John Simkoko amesema uwanja huo unatarajiwa kufungwa viti ambavyo...