Rais wa Jamhuri ya Angola, Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço, amewasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu inayolenga kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati ya Tanzania na Angola.
Rais Lourenço amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam, ambako amepokelewa na Waziri...