Wanaukumbi.
Mkutano Mkuu wa Nchi za Kiarabu kuijenga upya Gaza.
Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani ukiukaji wa haki za binadamu wa Israel huko Gaza na kuishinikiza Israel kuruhusu misaada ya kibinadamu kufika katika eneo hilo...
Mfalme Abdullah wa Jordan na Mwanawe Wamtembelea Trump Ikulu
Mfalme Abdullah wa Jordan na mwanawe wametembelea Ikulu ya White House kwa mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump. Mkutano huo uliangazia juhudi zinazoendelea za kubadilisha mwelekeo wa Mashariki ya Kati, hasa kuhusu uhamishaji...
Nyota wa Kikapu, LeBron James ameonesha ukomavu baada ya kuiongoza Los Angeles Lakers kuoata ushindi wa Vikapu 120-112 dhidi ya Golden State Warriors katika Ligi ya NBA.
LeBron amefunga Pointi 42, ‘Ribaundi’ 17 na Asisti 8 ambapo ameungana na Michael Jordan kuwa wachezaji wawili pekee...
Watawapokea Wapalestina wa Gaza
Wa kwanza ni Abdel Fattah El-Sisi, rais wa Misri, na wa pili ni Abdullah II, mfalme wa Jordan
Hawa jamaa ni pro west na pro Israeli. Walipokea misaada ya kutosha toka Marekani sasa na wao ni wakati wa kulipa. Wametakiwa kuwapokea wana Gaza milioni 1.5 ili...
Marcus Jordan, mtoto wa mwanamichezo maarufu wa mpira wa kikapu, Michael Jordan, amekamatwa Florida kwa tuhuma za kuendesha gari akiwa amelewa na kumiliki dawa za kulevya aina ya cocaine. Polisi walimkamata baada ya kugundua gari lake, Lamborghini, limekwama kwenye reli za treni, ambapo...
Alipokua akiulizwa kuhusu kauli yake alioitoa kuhusu kuhamishwa kwa wapalestina walioko Gaza, aliendelea kisisitiza msimamo huo.
Muda utatuambia kua huyu mzee hamnazo kabisa, kama lengo lake ni kushirikiana na wazayuni awatoe wapalestina gaza, amechelewa sana na haiwezekani.
Haiwezekani mtu...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais trump atoka maagizo mazito ya kiutendaji kwa nchi za Jordan na misri
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
January 26, 2025
By Agencies
Today, 4:32 am
US President Donald Trump says that Jordan and Egypt should take more Palestinians from Gaza, where...
Wale walenga shabaha(snipers )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu.
Mnaidhani wale sio sniper refer Donald Trump alipunyuliwa nywele badala ya kupigwa kichwa na sniper....tuendelee
Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili.
Mbowe mtoto wa mjini akahisi...
Walinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan.
Uchunguzi umeanza kubaini tukio hilo kwenye daraja lijulikanalo kama Allenby
Shooting attack at the West Bank-Jordan...
Marcus Jordan Mtoto wa Legend wa mpira wa kikapu duniani na gwiji wa NBA Michael Jordan, ameingia kwenye skendo kubwa na ya aibu baada ya kupigwa picha akiwa anatumia madawa ya kulevywa aina ya Cocaine,
-
Picha hizi zimepigwa na mapaparazi wa Ufaransa ambao kwao ni msimu mkubwa wa mapato...
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.
Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.
Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za...
Mshkaji wangu kaingia States kaniachia mazaga zaga kibao geto sasa kuna hii air jordan tatizo size ya mguu hatuvaliani.
Size 43, kiatu bado kipya kipya , bei chee tu tunafanya biashara. Kiatu orijino sio midosho ya vunjabei. Kama mpenzi wa haya mambo njoo pm tuyajenge
Uchaguzi wa bunge la ulaya umemalizika jana kwa raia kutoka nchi 27 kupiga kura kuchagua wabunge watakaowawakilisha katika bunge la ulaya ambapo vyama vya siasa vya mrengo wa kulia vimeonekana kufanya vizuri.
Nchini ufaransa, chama cha mrengo wa kulia cha “National Rally, NR” kimefanya vizuri...
Hello bosses and roses, it has been a while...
Leo ngoja nimuongelee huyu kinda wa NBA kwa jina la Antony Edwards au Ant-Man, dogo wa 2001 tu hapa anaekipiga kwenye team ya Minnesota TImberwolves.
Huyu dogo ni hatari, kama umefuatilia NBA playoffs utaona kaongoza timu yake kuingia semi-final...
Jordan imekiona kitisho cha vita baina ya Iran na Israel na imeanza kujiweka mbali na Israel.
Katika kujitetea kwanini walidungua droni za Iran zilizokuwa zikielekea Israel,nchi hiyo ya kifalme imesema haikufanya hivyo kuitetea Israel bali ilikuwa ni kuwalinda raia wake dhidi ya vifaa...
Jordan: Watatu wafariki kwa kudondokewa na drone iliyodunguliwa
Shirika la usalama nchini Jordan "Royal intelligence" limeripoti kwamba Watu Watatu wamefariki dunia kwa kulipukiwa na suicide drone ya iran waliyoidungua wakati wakijaribu kuiokoa Israel dhidi ya mashambulizi ya Iran usiku wa...
Kiwango cha ongezeko la maandamano nchini Jordan kumeanza kutishia ufalme wa nchi hiyo.Wiki iliyopita waandamanaji hao walifurika mitaani na kuzunguka ubalozi wa Israel.
Pamoja na kubeba mabango ya kusifia wapiganaji wa Hamas,waandamanaji hao walisikika wakiimba kuwa wao ni wafuasi wa Yahya...
Joto la vita limeanza kupanda ndani ya Jordan ambayo pamoja na Misri ndizo nchi muhimu kwa usalama wa Israel.
Wananchi wa nchi hiyo hawajaridhishwa na namna nchi yao ambayo ina udugu mkubwa na Palestina kwa namna inavyoshughulikia madhila ya wapalestina na vita vya Gaza. Hata walipomuona mfalme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.