Mfalme Abdullah wa pili wa Jordan amwaga darsa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye bunge la Ulaya kwa ufupi wenye kina.
Darsa hili ni fundisho na faida kwa Waislam na wasio Waislam. Tusikilize👇🏾
Tutaleta tafsiri ya Kiswahili baadae.
Kupitia mahojiano na Jarida la Complex, mwigizaji Michael B. Jordan ameweka wazi kuwa nyota huyo mwenye asili ya Canada anapaswa kupewa heshima ya juu zaidi ya wakongwe wa #HipHop kama 2Pac na JAY-Z.
Jordan akiwa na mwigizaji Jonathan Majors amesema anadhani Rapa na Mwimbaji Drake anapaswa...
Tarehe 7 Sept 2017
Tundu Lissu anapigwa risasi mkoani Dodoma
October 2017
Jordan Rugimbana mkuu wa mkoa wa Dodoma anatumbuliwa.
Jordan ni mtoto wa Kamisna wa kwanza wa jeshi la magereza nchini. Baba yake alifariki kwa ajali kama sikosei enzi za Nyerere. Nyerere aliwachukua baadhi yao na...
Kamanda wa Polisi wa Kaunti Ndogo ya Mvita Maxwell Agoro akizungumza na mmoja wa raia 40 wa Jordan waliokamatwa. Picha: Kwa hisani
Polisi wa Mombasa Nchini Kenya wanawashikilia watalii 40 raia wa Jordan baada ya kukutwa wakiombaomba katika Mitaa ya Old Town na Marikiti ili wakusanye fedha ya...
Explosions for two hours after plane carrying 12 tonnes of weapons crashes
Drone footage captures how the cargo plane crash landed in the fields (Picture: Reuters)
A cargo plane carrying 11.5 tonnes of weapons has crashed in northern Greece, killing everyone on board.
Explosions were heard for...
Itapendeza sana ikiwa hivi
1 Oman
2 Emirates
3 Saudia Arabia
4 Qatar
5 Bahrain
6 Kuwait
7 Egypt
8 Jordan
9 Algeria
10 Morocco
11 Tunisia
12 Palestina
13 Lebanon
Tunawaombea heri kubwa hawa ndugu zetu ,Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi jambo lao litimie.
Ambae itamchoma na kumuumiza hii mada...
Israel said to secretly ink unprecedented deal to supply gas to Lebanon, via Jordan
Israel has signed an agreement to indirectly pump natural gas to Lebanon to aid the crisis-hit nation, an unsourced television report claimed on Saturday.
Channel 12 news reported that the...
Ancient Nabataeans Water Management:
The 2,000 year old city of Petra,Jordan, known for its magnificent temples carved into its red sandstone cliffs is also home to an incredible feat of hydraulic engineering.
An extensive water supply system turned this ancient city into a man- made oasis...
Michael Jordan weighs in on NBA's COVID-19 protocols, vaccinations: 'I'm a firm believer in science'
Michael Jordan faced criticism during his playing career for his apolitical views, but the NBA legend didn't hesitate to share a strong stance on the league's COVID-19 protocols.
During an...
Ndugu zangu nina mdogo wangu amefanikiwa kuchaguliwa ktk vyuo hivi viwili vya elimu ya juu vya Jordan University College kilichoko Morogoro na St. Augustine University - Arusha Campus. Naomba mwenye kuvijua vyuo hivi vizuri kwenye upande wa miundo mbinu, mazingira na ubora wa elimu anisaidie...
Israel ilijua zamani kuwa bila kuzitumia nchi mbili zilizo jirani yake kama kinga dhidi ya uvamizi wa taifa la Palestina basi hawataweza kuendelea kuwapo pale kama taifa.Nguvu ya kijeshi wanayojilimbikizia kwa msaada wa taifa la Marekani wala hazina athari kubwa kuliko unafiki wa viongozi wa...
Mashambulizi ya maroketi yameendelea siku ya Ijumaa kati ya Israel na Palestina, huku idadi ya vifo na majeruhi pamoja na uharibifu wa mali vikiongezeka.
Israel imeendelea kufanya mashambulio katika ukanda wa Gaza ikipuuzia wito wa Jamii ya Kimataifa wa kusitisha mashambulizi, ikisababisha vifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.