joseph boakai

  1. BARD AI

    Liberia: Rais amsimamisha kazi Gavana wa Benki Kuu kwa kukataa kutoa taarifa kwa Tume ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (GAC), Azuia malipo yake yote

    Rais Joseph Boakai amechukua hatua hiyo baada ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (GAC) kuripo kuwa Gavana Aloysius Tarlue alikataa kutoa taarifa muhimu wakati wa Ukaguzi na hivyo kuongeza mashaka juu ya utendaji wake. Pia, Tume ya Ukaguzi imesema Uongozi wa Benki Kuu haukusimamia...
  2. JanguKamaJangu

    Rais wa Liberia apunguza mshahara wake kwa 40%

    Rais Joseph Boakai ametangaza atapunguza mshahara wake kwa Asilimia 40 huku Ofisi yake ikieleza ni sehemu ya kuonesha Utawala Unaowajibika Hivi karibuni Wananchi wengi wamelalamikia kupanda kwa gharama ya maisha Nchini hapo ambapo Kituo cha BBC kimedai takriban Mtu mmoja kati ya Watano anaishi...
Back
Top Bottom