Joseph Tadayo amedai Watu kujaa mahakamani, kunaweza mkosesha haki Tundu Lissu.
Joseph Tadayo ni Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro kupitia CCM na Taaluma yake ni Mwanasheria.
Ametoa mifano kadhaa kwamba;
1. Dr. Lamwai alikuwa akimtetea Muuza dawa za kulevya, Radio Tanzania(ya Umma)...
Kwa mfumo wa kura za maoni kupigwa na wajumbe tu kumeleta madhara makubwa ya kiuongozi nchi hii
Jimbo la MWANGA mkoani Kilimanjaro ni Moja kati ya majimbo yalokosa uelekeo wa kiuongozi katika awamu ulopita.
Mbunge wa Mwanga ndugu yangu Joseph Tadayo sio tu kuwa hajui majukumu ya Mbunge Bali...