dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,502
- 3,487
Joseph Tadayo amedai Watu kujaa mahakamani, kunaweza mkosesha haki Tundu Lissu.
Joseph Tadayo ni Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro kupitia CCM na Taaluma yake ni Mwanasheria.
Ametoa mifano kadhaa kwamba;
1. Dr. Lamwai alikuwa akimtetea Muuza dawa za kulevya, Radio Tanzania(ya Umma) ikatoa Shinikizo kwamba mtu huyo asipofungwa itawashangaza Wananchi. Jaji Makanja akatupilia mbali kesi hiyo kwa sababu kulishakuwa na Shinikizo
2. Yesu alipotaka kusurubiwa, Watu walishinikiza asurubiwe, Pilato akanawa Mikono na kumkabidhi Yesu kwao.
3. Kitabu cha Matendo ya Mitume Kesi ya Mtume Paulo ilicheleweshwa kwa Miaka Miwili sababu kila akitaka kutoa hukumu watu wamejaa pale nje. Ikabidi ahamishwe akisindikizwa na Farasi Mia mbili huku ikayolewa huko mbali kusipo na watu
Nini Maoni yako?