Joseph Tadayo: Shinikizo la Umma linaweza mkosesha haki Tundu Lissu

Joseph Tadayo: Shinikizo la Umma linaweza mkosesha haki Tundu Lissu

ni jukumu la polisi na magereza kuhakikisha usalama wa lissu, fikiria yule mama hasimu wa lissu aliyengangania kumwona lissu jela alikuwa anamlelekea nini, mumetaka uwwzi kwenye kesi haya kesi inaendeshwa kimtandao dunia yote inashuhudia, kinachofanya watu waende kisutu kufanya nini? lissu hakuwepo mahakamani nimawakili tu walikuwa wana submit mapingamizi wewe unaenda kutanua makwapa, wengine wameshikwa kwenye maduka ya watu baada ya waathirika kupiga simu polisi, unaenda kwenye kesi badala yake unaingia dukani kwa mtu unaanza kuimba no erection no ejaculation, mambo gani ya kipuuzi hivyo?

kuna watu hawana shida na siasa zenu msiwabugudhi
Day one huwa kuna vitu vya kusaini kisheria, 'am close minded'
 
Huyu nae nilikuwa namuheshimu zamani,Lakini alipoingia kwenye Siasa tena upande wa wahuni nilimshusha heshima yake.
Uthibitisho ni huu ushauri wake wakipuuzi
 
kenny sarowiwa alienda, madhoud abiola alienda, mohamed morsi alienda na nchi zikabaki salama, nahuyu tukiona akienda nchi itakuwa salama ataenda
Wewe utaenda kabla yake
 
Joseph Tadayo amedai Watu kujaa mahakamani, kunaweza mkosesha haki Tundu Lissu.

Joseph Tadayo ni Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro kupitia CCM na Taaluma yake ni Mwanasheria.

Ametoa mifano kadhaa kwamba;

1. Dr. Lamwai alikuwa akimtetea Muuza dawa za kulevya, Radio Tanzania(ya Umma) ikatoa Shinikizo kwamba mtu huyo asipofungwa itawashangaza Wananchi. Jaji Makanja akatupilia mbali kesi hiyo kwa sababu kulishakuwa na Shinikizo

2. Yesu alipotaka kusurubiwa, Watu walishinikiza asurubiwe, Pilato akanawa Mikono na kumkabidhi Yesu kwao.

3. Kitabu cha Matendo ya Mitume Kesi ya Mtume Paulo ilicheleweshwa kwa Miaka Miwili sababu kila akitaka kutoa hukumu watu wamejaa pale nje. Ikabidi ahamishwe akisindikizwa na Farasi Mia mbili huku ikayolewa huko mbali kusipo na watu

Nini Maoni yako?
View attachment 3316719
Wapi Jaji Makanja alisema anatupilia mbali shauri kwa sababu ya shinikizo?

Nani kamwambia Mwananchi kufuatilia kesi ni kutoa shinikizo?

Alafu anapoweka mifano ya Yesu na Mtume Paulo kwa hiyo anataka kutuambia ni kweli Lissu anafanana na Yesu na Mtume Paulo?

Anataka kutuambia na kututhibitishia luwa ni kweli wanamuonea Lissu kwa Mashtaka ya Uongo kama ilivyokuwa kwa Yesu na Mtume Paulo?
 
ni jukumu la polisi na magereza kuhakikisha usalama wa lissu, fikiria yule mama hasimu wa lissu aliyengangania kumwona lissu jela alikuwa anamlelekea nini, mumetaka uwwzi kwenye kesi haya kesi inaendeshwa kimtandao dunia yote inashuhudia, kinachofanya watu waende kisutu kufanya nini? lissu hakuwepo mahakamani nimawakili tu walikuwa wana submit mapingamizi wewe unaenda kutanua makwapa, wengine wameshikwa kwenye maduka ya watu baada ya waathirika kupiga simu polisi, unaenda kwenye kesi badala yake unaingia dukani kwa mtu unaanza kuimba no erection no ejaculation, mambo gani ya kipuuzi hivyo?

kuna watu hawana shida na siasa zenu msiwabugudhi
Imebidi nirudi juu kuangalia ni nani anaandika ujinga kama huu, kumbe ni wewe, maana nilitaka kutukana lakini baada ya kujua ni wewe nikaona ni haki yako kuandika hayo
 
Imebidi nirudi juu kuangalia ni nani anaandika ujinga kama huu, kumbe ni wewe, maana nilitaka kutukana lakini baada ya kujua ni wewe nikaona ni haki yako kuandika hayo
kweli?
 
Kweli kabisa, kuna hoja yoyote unaweza kuandika zaidi ya mambo kama hayo uliyoandika? Ndiyo maana watu hawatakiwi kukulaumu maana ndiyo akili yako ilipoishia.
 
Ukweli ni kwamba CCM wanaogopa wingi wa watu mahakamani utaondoka na Lissu.

Nguvu ya umma vs nguvu ya polisi

Kunyamaza siyo amani ball ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii

Silence surrenders public responsibilities
Chadema ni chama kinachofuata misingi ya sheria , haki n.k Mbowe mbona hawakuondoka nae , wameumiza watu then wanataka jificha kwenye kichaka
 
Back
Top Bottom