joseph waryoba butiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Bana: Siku hizi Mzee Butiku kimya na kimya kingi kina mshindo mkali

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dkt. Benson Alfred Bana, amesema "Sioni watu wenye hekima kama walivyokuwa kina Mzee Warioba wakati ule, au kama tunavyomchukulia Mzee Obasanjo sasa hivi kwenye siasa za kimataifa." Ameongeza kuwa "Sioni mtu wa kwenda hapa na pale; anatoka CHADEMA...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mzee Butiku: Rais ameshachaguliwa, hatukubali wanaosema aondoke; sio rais wa CCM, ni wa Tanzania

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameishachaguliwa kihalali, hivyo hakuna msingi wa kudai aondoke madarakani, akisisitiza kuwa Rais huyo si wa Chama cha Mapinduzi (CCM) pekee bali ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…