PostGE2025 Dkt. Bana: Siku hizi Mzee Butiku kimya na kimya kingi kina mshindo mkali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dkt. Benson Alfred Bana, amesema "Sioni watu wenye hekima kama walivyokuwa kina Mzee Warioba wakati ule, au kama tunavyomchukulia Mzee Obasanjo sasa hivi kwenye siasa za kimataifa."

Ameongeza kuwa "Sioni mtu wa kwenda hapa na pale; anatoka CHADEMA, anaingia CCM, anaingia asasi za kiraia, anaingia kwa wanahabari, kwa wanataaluma... makundi yote ya kijamii akijaribu kujenga mazingira ya watu kuanza mazungumzo ya maridhiano yakatayo dumu."

"Kuna watu maarufu, mimi wote nawatatizika, awe Mzee Warioba, awe Salim Ahmed Salim, awe Benson Bagonza... Tulikuwa na kina Mzee Jaji Joseph Warioba, siku hizi kimya. Na kimya kingi kina mshindo mkali. Unajiuliza kwa nini wazee wetu hawa maarufu, kwa nini wakae kimya? Tuna watu ambao wapo prominent, wanaweza wakashawishi, wakaongea na pande zinazotakiwa, zinazohusika."

Soma: PostGE2025 - Dkt. Benson Bana: Hamuwezi kuridhiana wakati Tundu Lissu yuko Gerezani, ana kesi ya kujibu, tungoje Mahakama itoe hukumu

Wao wenyewe wameona hawaelewi, wanaona mjukuu wao Abdul anavyomwaga mihela wanashangaa hawajui hata waseme nini, labda wakitaka kutoka wanashangaa mama ametema nyongo inayozidi kuleta uchungu wanabaki kuugulia ndani
 
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dkt. Benson Alfred Bana, amesema "Sioni watu wenye hekima kama walivyokuwa kina Mzee Warioba wakati ule, au kama tunavyomchukulia Mzee Obasanjo sasa hivi kwenye siasa za kimataifa. Sioni mtu wa kwenda hapa na pale; anatoka CHADEMA, anaingia CCM, anaingia asasi za kiraia, anaingia kwa wanahabari, kwa wanataaluma... makundi yote ya kijamii akijaribu kujenga mazingira ya watu kuanza mazungumzo ya maridhiano yakatayo dumu.

Kuna watu maarufu, mimi wote nawatatizika, awe Mzee Warioba, awe Salim Ahmed Salim, awe Benson Bagonza... Tulikuwa na kina Mzee Jaji Joseph Warioba, siku hizi kimya. Na kimya kingi kina mshindo mkali. Unajiuliza kwa nini wazee wetu hawa maarufu, kwa nini wakae kimya? Tuna watu ambao wapo prominent, wanaweza wakashawishi, wakaongea na pande zinazotakiwa, zinazohusika."

Hakuna cha kishindo ni chawa ti takataka
 
kwani yeye bana anasemaje? naona anatafuta kiki baaada ya kusahaulika , yaani bongo ukitaka usahaulike wewe ingilia interest za watanganyika , yaani fasta inakula kwako muulizeni Mwana FA alivyotaja matakataka pele Mlimani city atajuta mpaka atakapokufwa nyambaf zao fiisiiemu.
 
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dkt. Benson Alfred Bana, amesema "Sioni watu wenye hekima kama walivyokuwa kina Mzee Warioba wakati ule, au kama tunavyomchukulia Mzee Obasanjo sasa hivi kwenye siasa za kimataifa."

Ameongeza kuwa "Sioni mtu wa kwenda hapa na pale; anatoka CHADEMA, anaingia CCM, anaingia asasi za kiraia, anaingia kwa wanahabari, kwa wanataaluma... makundi yote ya kijamii akijaribu kujenga mazingira ya watu kuanza mazungumzo ya maridhiano yakatayo dumu."

"Kuna watu maarufu, mimi wote nawatatizika, awe Mzee Warioba, awe Salim Ahmed Salim, awe Benson Bagonza... Tulikuwa na kina Mzee Jaji Joseph Warioba, siku hizi kimya. Na kimya kingi kina mshindo mkali. Unajiuliza kwa nini wazee wetu hawa maarufu, kwa nini wakae kimya? Tuna watu ambao wapo prominent, wanaweza wakashawishi, wakaongea na pande zinazotakiwa, zinazohusika."

Soma: PostGE2025 - Dkt. Benson Bana: Hamuwezi kuridhiana wakati Tundu Lissu yuko Gerezani, ana kesi ya kujibu, tungoje Mahakama itoe hukumu

Kichwa cha sledi ni Mzee Butiku lakini maelezo ni Mzee Warioba.Kipi ni gani?
 
Ana mshindo gani huyo! Ameshanunuliwa kitambo. Kilichobakia kwake ni aibu tu na fedheha. Mzee Warioba tunafahamu amechagua njia iliyo sahihi kwake. Ameongea, tumemsikia. Msimamo wake kuhusu nchi kila mmoja wetu anaufahamu.
 
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dkt. Benson Alfred Bana, amesema "Sioni watu wenye hekima kama walivyokuwa kina Mzee Warioba wakati ule, au kama tunavyomchukulia Mzee Obasanjo sasa hivi kwenye siasa za kimataifa."

Ameongeza kuwa "Sioni mtu wa kwenda hapa na pale; anatoka CHADEMA, anaingia CCM, anaingia asasi za kiraia, anaingia kwa wanahabari, kwa wanataaluma... makundi yote ya kijamii akijaribu kujenga mazingira ya watu kuanza mazungumzo ya maridhiano yakatayo dumu."

"Kuna watu maarufu, mimi wote nawatatizika, awe Mzee Warioba, awe Salim Ahmed Salim, awe Benson Bagonza... Tulikuwa na kina Mzee Jaji Joseph Warioba, siku hizi kimya. Na kimya kingi kina mshindo mkali. Unajiuliza kwa nini wazee wetu hawa maarufu, kwa nini wakae kimya? Tuna watu ambao wapo prominent, wanaweza wakashawishi, wakaongea na pande zinazotakiwa, zinazohusika."

Soma: PostGE2025 - Dkt. Benson Bana: Hamuwezi kuridhiana wakati Tundu Lissu yuko Gerezani, ana kesi ya kujibu, tungoje Mahakama itoe hukumu

Huyo butiku dam ya polepole inamlilia kila kukicha
 
Back
Top Bottom