Habari wakuu,
Jana nimeona watoto wa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba wakivutia mjadala mkubwa mtandaoni baada ya baba yao kuwapa nafasi ya kuzungumza jukwaani. Miongoni mwao, Isack tayari anafahamika kwa kuwa ameonekana mara kadhaa kwenye majukwaa ya kisiasa.
Tangu tukio hilo, kumekuwa na maoni...