Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewataka Watanzania kuwasikiliza wataalamu wa hali ya hewa kuhusu suala la El Niño, kufuatia mijadala inayoendelea katika jamii kuhusu ongezeko la joto nchini.
Msigwa ameyasema hayo jana...