Gerson Msigwa: El Niño, ni kuongezeka kwa joto

Atukuzwaye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
191
Reaction score
250
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewataka Watanzania kuwasikiliza wataalamu wa hali ya hewa kuhusu suala la El Niño, kufuatia mijadala inayoendelea katika jamii kuhusu ongezeko la joto nchini.

Msigwa ameyasema hayo jana Oktoba 25, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa kumekuwa na watu wanaopotosha umma badala ya kuzingatia maelezo yanayotolewa na wataalamu wa hali ya hewa.

Amesema ameshuhudia mijadala katika mitandao ya kijamii, ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakiwakosoa wataalamu wa hali ya hewa baada ya kueleza kuhusu ongezeko la joto linaloendelea kushuhudiwa. Msigwa amesisitiza kuwa Watanzania wanapaswa kuzingatia maelezo ya wataalamu badala ya kueneza taarifa zinazoweza kupotosha umma.

Wakuu huku kitaani kama mnavyojua wengi tumeamishwa kuwa El Niño, mvua kubwa zinazoambatana na uharibifu mkubwa wa mazingira na miundombinu. Sasa kumbe kitaalamu inasemekana El Niño, inaweza kutokea kwa mfano huu wa ongezeko la joto kali kama jinsi hali ilivyo.

Wewe kama mdau ulikua unaielewaje El Niño? 🤔 🤔
 
Yupo sahihi kabisa......!

El Niño ni hali ya mabadiliko ya hali ya hewa inayotokea pale maji ya uso wa Bahari ya Pasifiki katika eneo la tropiki yanapopata joto kuliko kawaida. Hali hii hubadilisha mifumo ya mvua na joto katika maeneo mbalimbali duniani, ikiwemo Afrika Mashariki.
Madhara ya El Niño Tanzania
🌧️ Mvua nyingi: zinaweza kusababisha mafuriko na kuharibika kwa nyumba na miundombinu.
🌊 Mafuriko: mito inaweza kujaa na kusababisha watu kuhama makazi yao.
🌾 Kilimo: mazao yanaweza kuongezeka au kuharibika kutokana na mvua nyingi.
🦟 Magonjwa: hatari ya malaria, kipindupindu na magonjwa mengine yanayohusiana na mafuriko inaweza kuongezeka.
🚗 Usafiri: barabara na madaraja vinaweza kuharibika.

Hii ni Kwa kujibu WA chatgpt
 
Ufafanuzi wa KMD ya Kenya naona wamejikita na Indian ocean tu.
 
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewataka Watanzania kuwasikiliza wataalamu wa hali ya hewa kuhusu suala la El Niño, kufuatia mijadala inayoendelea katika jamii kuhusu ongezeko la joto nchini.

Msigwa ameyasema hayo jana Oktoba 25, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa kumekuwa na watu wanaopotosha umma badala ya kuzingatia maelezo yanayotolewa na wataalamu wa hali ya hewa.

Amesema ameshuhudia mijadala katika mitandao ya kijamii, ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakiwakosoa wataalamu wa hali ya hewa baada ya kueleza kuhusu ongezeko la joto linaloendelea kushuhudiwa. Msigwa amesisitiza kuwa Watanzania wanapaswa kuzingatia maelezo ya wataalamu badala ya kueneza taarifa zinazoweza kupotosha umma.

Wakuu huku kitaani kama mnavyojua wengi tumeamishwa kuwa El Niño, mvua kubwa zinazoambatana na uharibifu mkubwa wa mazingira na miundombinu. Sasa kumbe kitaalamu inasemekana El Niño, inaweza kutokea kwa mfano huu wa ongezeko la joto kali kama jinsi hali ilivyo.

Wewe kama mdau ulikua unaielewaje El Niño? 🤔 🤔
El nino ni ongezeko la joto kubwa baharini linalosababisha kutengenezwa mvua za kufuru.

Mvua za El nino ziliwahi kunyesha 97/98.

Kusema El nino ni joto ni sawa, lakini joto hilo ndilo linalosababisha kutokea mvua kubwa zinazoweza kuleta maafa.

Mbona jambo hili linaeleweka na liko wazi?

Kila mtu kuja na fasiri zake ni kuupotosha umma.
 
Mkuu kwenye hizo bilioni wewe umegawiwa elfu ngapi??
 
Back
Top Bottom