Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,767
- 26,079
Acha Ac hata feni basiKwa hiyo zile Bil 700+ zilikuwa za kupambana na hili joto? Mbona hatuoni hizo AC walizoweka kupunguza joto?

Sawa kwahyo ile bilion mia saba mliyoitenga vipi?Ndio joto huwa linavuruga akili, lakini vitoto vyenyewe kama unavyoona havichelewi kuvua nguo maana hiyo litakuwa kali hali hii itawavuruga wasimamizi hasa wa kiume kuepusha yote hayo tumeona wafanye mapema
Oooh infact ile billion mia saba, mpaka sasa imeshatumika, na kama unavyojua tulitoa taarifa kuwa Elinino ilianza mwezi wa tano,kuna gharama za kununua vifaa vitavyowezesha kujua joto ni la namna gani, tunashauri wananchi mnywe maji mengi msije mkazimiaSawa kwahyo ile bilion mia saba mliyoitenga vipi?
Muhimu sana hiiamewataka Watanzania kuwasikiliza wataalamu wa hali ya hewa
Mtununulie hata maji kutupoza koo basi loh! Bilioni mia saba limeshatembea hivyoo!👋🏼Oooh infact ile billion mia saba, mpaka sasa imeshatumika, na kama unavyojua tulitoa taarifa kuwa Elinino ilianza mwezi wa tano,kuna gharama za kununua vifaa vitavyowezesha kujua joto ni la namna gani, tunashauri wananchi mnywe maji mengi msije mkazimia
Hatubishani tunataka kujua bilioni mia 7 imetumikaje ndugu mjumbe!Muhimu sana hii
Kumeibuka wimbi kubwa la watanzania kujifanya wajuaji kiasi cha kuamua kubishana na wataalamu.
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewataka Watanzania kuwasikiliza wataalamu wa hali ya hewa kuhusu suala la El Niño, kufuatia mijadala inayoendelea katika jamii kuhusu ongezeko la joto nchini.
Msigwa ameyasema hayo jana Oktoba 25, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa kumekuwa na watu wanaopotosha umma badala ya kuzingatia maelezo yanayotolewa na wataalamu wa hali ya hewa.
Amesema ameshuhudia mijadala katika mitandao ya kijamii, ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakiwakosoa wataalamu wa hali ya hewa baada ya kueleza kuhusu ongezeko la joto linaloendelea kushuhudiwa. Msigwa amesisitiza kuwa Watanzania wanapaswa kuzingatia maelezo ya wataalamu badala ya kueneza taarifa zinazoweza kupotosha umma.
Wakuu huku kitaani kama mnavyojua wengi tumeamishwa kuwa El Niño, mvua kubwa zinazoambatana na uharibifu mkubwa wa mazingira na miundombinu. Sasa kumbe kitaalamu inasemekana El Niño, inaweza kutokea kwa mfano huu wa ongezeko la joto kali kama jinsi hali ilivyo.
Wewe kama mdau ulikua unaielewaje El Niño? 🤔 🤔
Kwahiyo zile billion 730 zilikuwa za A/c sio, au barafu? Na mitaro mlichimba kwa ajili ya ku circulate hewa..msituzingue tunataka el nino yetu kama mmeipiga tuambieniMsemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewataka Watanzania kuwasikiliza wataalamu wa hali ya hewa kuhusu suala la El Niño, kufuatia mijadala inayoendelea katika jamii kuhusu ongezeko la joto nchini.
Msigwa ameyasema hayo jana Oktoba 25, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa kumekuwa na watu wanaopotosha umma badala ya kuzingatia maelezo yanayotolewa na wataalamu wa hali ya hewa.
Amesema ameshuhudia mijadala katika mitandao ya kijamii, ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakiwakosoa wataalamu wa hali ya hewa baada ya kueleza kuhusu ongezeko la joto linaloendelea kushuhudiwa. Msigwa amesisitiza kuwa Watanzania wanapaswa kuzingatia maelezo ya wataalamu badala ya kueneza taarifa zinazoweza kupotosha umma.
Wakuu huku kitaani kama mnavyojua wengi tumeamishwa kuwa El Niño, mvua kubwa zinazoambatana na uharibifu mkubwa wa mazingira na miundombinu. Sasa kumbe kitaalamu inasemekana El Niño, inaweza kutokea kwa mfano huu wa ongezeko la joto kali kama jinsi hali ilivyo.
Wewe kama mdau ulikua unaielewaje El Niño? 🤔 🤔
Tumetumia kusafisha na kurekebisha maeneo korofi.Hatubishani tunataka kujua bilioni mia 7 imetumikaje ndugu mjumbe!
Hakuna cha kushika, tuliambiwa watu wa bondeni wahame, tuzibue mitaro, tukate miti iliyozunguka majengo, wasafiri tuchukue tahadhari ikibidi kubadirisha ratiba za safari na shule zitafungwa mapema kuepuka maafa.Sijui tushike lipi ndipo.
Mtani inasikitisha sana hii.Hakuna cha kushika, tuliambiwa watu wa bondeni wahame, tuzibue mitaro, tukate miti iliyozunguka majengo, wasafiri tuchukue tahadhari ikibidi kubadirisha ratiba za safari na shule zitafungwa mapema kuepuka maafa.
Yote hayo yamefanyika lakini kumbe el Nino yenyewe ni joto tu!!😇😇
bora el-ninyo iji 2pate maji!! mimi nina wikisasa sijaogaMsemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewataka Watanzania kuwasikiliza wataalamu wa hali ya hewa kuhusu suala la El Niño, kufuatia mijadala inayoendelea katika jamii kuhusu ongezeko la joto nchini.
Msigwa ameyasema hayo jana Oktoba 25, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa kumekuwa na watu wanaopotosha umma badala ya kuzingatia maelezo yanayotolewa na wataalamu wa hali ya hewa.
Amesema ameshuhudia mijadala katika mitandao ya kijamii, ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakiwakosoa wataalamu wa hali ya hewa baada ya kueleza kuhusu ongezeko la joto linaloendelea kushuhudiwa. Msigwa amesisitiza kuwa Watanzania wanapaswa kuzingatia maelezo ya wataalamu badala ya kueneza taarifa zinazoweza kupotosha umma.
Wakuu huku kitaani kama mnavyojua wengi tumeamishwa kuwa El Niño, mvua kubwa zinazoambatana na uharibifu mkubwa wa mazingira na miundombinu. Sasa kumbe kitaalamu inasemekana El Niño, inaweza kutokea kwa mfano huu wa ongezeko la joto kali kama jinsi hali ilivyo.
Wewe kama mdau ulikua unaielewaje El Niño? 🤔 🤔
Nyinyi ni mashetani!Tumetumia kusafisha na kurekebisha maeneo korofi.
sawaNyinyi ni kashetani!
Watanzania acheni uvivu, serikali sikivu imehakikisha upatikani wa maji safi kila eneo, kinyweni maji, hizo bill 700 ni ndogo sana ukilinganisha na wenzetuMtununulie hata maji kutupoza koo basi loh! Bilioni mia saba limeshatembea hivyoo!👋🏼