jpm

  1. B

    Hivi hii miradi anayozindua Rais Samia kuna mradi wowote aliouanzisha yeye Ukitoa aliyoikuta ya Hayati Magufuli?

    Mm sio mtu wa siasa ila nmekuwa nkijiuliza haya maswal nkaona nilete Uzi huu nipate kujua ukwel maana mwezi wa 10 sio mbali Nmekuwa nliona tangu mwaka unaanza mama anaenda kuzindua miradi mbali mbali.. Na kusifiwa sana Je ni miradi aliyoisamia yeye kuanzia 0 Hadi 100 au ni miradi aliyoikuta...
  2. P

    Huwezi ukawa mzalendo mwenye akili timamu ukasema kuwa Magufuli alikuwa si kiongozi bora

    John Pombe Magufuli ni rais ambaye amesifiwa sana ndani na nje ya nchi kutokana na sera zake za Tanzania kwanza, hapa kazi tu, kupiga vita rushwa, kubana matumizi, kujitegemea, kuziba mianya ya ufujaji pesa, na kuwekeza kwenye miundombinu ya viwanja, barabara, viwanja vya ndege, stand za...
  3. D

    Ahsante Mungu, Arab Contractors walikuja kipindi Cha JPM; Wangekuja kipindi Cha Samia hakika ingekuwa shida kubwa.

    Ni wajomba zake kutoka Oman ndo maana wamepata.........,.... Hapo amewaleta makusudi wajomba zake hao Ili wavune na wanyama wetu pia............. Nchi inauzwa hii.................... 2025 arudi kwao kizimkazi atuachie Tanganyika yetu.............. R.I.P JPM......n.k Ahsante sana Mungu, hakika...
  4. Ushauri: Idara ya Makumbusho ya Taifa ihifadhi baadhi ya vitu alivyotumia JPM wakati wa uongozi wake

    Nashauri idara hii itunze vitu hivyo kama mavazi, magari vitunzwe. Hii iende hata kwa marais wengine.
  5. Kosa kama lile la Wajumbe ( Chawa) kumtaka JPM aongoze milele, tena linajirudia kwa Rais Samia japo wanajua ni Kinyume cha Katiba yao

    Kwa bahati mbaya sana, Ma Rais wote Hayati, na Sasa Rais Samia, Kwa pamoja na Kila Mmoja Kwa wakati wake anaonekana ni mwenye kulifurahiaaa. Kama ni Rais, una najiona Kwa kazi zangu nilizofanya ni za kutukuka, ningeacha Mchakato ufanyike. Mwenyekiti alitakiwa kua Mfano, alitakiwa kukemea...
  6. D

    Kuhusu suala la ajira alaumiwe Hayati Magufuli kurundika graduates mtaani na hapo hapo akajiita eti ni Rais wa wanyonge

    Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu. Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga. Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu...
  7. HItimisho: Hayati Magufuli alikuwa tatizo ila shida kuu ni CCM

    Baada ya kuendelea kwa vitendo vya utekaji na mauaji ya watu walio na mawazo mbadala kuhusu uongozi wa nchi na demokrasia kwa ujumla hata baada ya kifo cha Magufuli swali kuu ambalo wanajiuliza watu wenye akili ni kwa nini matukio haya yanaendelea? Sote tunakubaliana kuwa Magufuli alikuwa...
  8. Ni maamuzi gani ya Hayati Magufuli yaliyokuathiri katika levo yako binafsi au familia

    CHANYA Maji- Kwa mara ya kwanza tangu kuwekwa historia ya dunia majinsafi yaliletwa mtaani kwetu. COVID 19. Nilikuwa na msimamo wa kuovaa Barakoa maana niliamini Covid 19 haipo. Msimamo wake uliungana na wangu iliniondolea usumbufu mkubwa hasa kwa wale wanaopenda magonjwa na habari za kufakufa...
  9. Kufukuzwa kwa Ntobi ni moja ya ishara kwamba Lissu na kundi lake ni madikteta kama alivyokuwa JPM, hawataki uhuru wa mawazo

    Mwenyekiti wa CDM Mkoa wa Shinyanga ameondolewa kwenye nafasi hiyo kwa sababu ameonyesha kumuunga mkono Mbowe. Kimsingi alitumia uhuru wake wa mawazo kumuunga mkono Mbowe. Kundi la Lissu, kwa formula ile ile ya JPM ya udikteta. Likaitisha kikao haraka haraka, bila hata kumsikiliza, wakamfukuza...
  10. Kabendera anawezaje kusema Hayati Magufuli alienda na pajama kwa Makamu wake je walinzi wake na Walinzi wa Makamu walikuwa wapi?

    Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale. Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi. Pili wabapoishi huishi na...
  11. Nani kamuelewa Mwamakula? Kuna mada anasema kuna baadhi ya taarifa enzi ya JPM zilikuwa classified, asingeweza kuzitoa, alijuaje? Hebu avue kinyago

    Kuna uzi hapa umeandika mambo ya enzi ya JPM kwamba Mwamakula alikuwa anapata baadhi ya taarifa, na hata wakati mwingine alitumiwa mtu na JPM. Hoja yangu imejikita pale aliposema baadhi ya taarifa zilikuwa classfied (za siri) asingeweza kuzitoa. Classified information zinalindwa na sheria ya...
  12. Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

    Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la...
  13. Kwenye Boksi la Kura, aliyemuweza Lissu ni Magufuli na hawa ndio walikuwa kwenye Mzani Sawa

    Hamjamboni wote! Magufuli ndiye mtu pekee ambaye alimpiga Lisu home and away. Yaani mtandaoni na kwenye Boksi la Kura. Kwa Sisi Watibeli wasema Kweli yote, tunasema Kiboko ya Lisu likuwa JPM kwenye suala la kupiga Kura Lakini Kiboko ya JPM alikuwa ni Lisu kwa upande wa siasa za majukwaani...
  14. Yericko Nyerere na wenzake wenye Mashaka na Lissu waende kwenye Kaburi la JPM halafu wamuulize Tundu Lissu ni Nani? Maana huenda hawamjui vizuri

    Kwema Wakuu! Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake. Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu. Yaani Mabeki wa Barcelona hawawezi uelewa uwezo wa Messi uwanjani kuliko Mabeki wa timu zingine kama Real...
  15. Chadema mnamachaguo mawili: Unite or Die

    Tundu Lissu alipewa nafasi ya kugombea Urais wa JMT! kuna nafasi kubwa kama hiyo ndani ya nchi? Then Unaponiambia kuwa Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama ambacho hakina hata wanachama 3M active countrywide, chama ambacho hakina hata 1/3 ya wabunge wa bunge zima…::ila tulikua tayari awe Rais...
  16. Hayati Magufuli kwenye utawala na Demokrasia alifeli pakubwa sana

    JPM kwenye Utawala na Demokrasia Julius Kambarage Nyerere, baba wa taifa la Tanzania, alijenga msingi wa utawala wa kidemokrasia nchini. Hata hivyo, utawala wa John Pombe Magufuli (JPM) ulionyesha mabadiliko makubwa katika mtindo wa uongozi na namna ambavyo demokrasia ilitekelezwa. Wakati JPM...
  17. D

    Kipindi cha Hayati Magufuli siasa zilikatazwa kabisa za upinzani na ukiwa mpinzani ulikuwa unashughulikiwa kwelikweli ila watu wamesahau

    Mara baada ya mama kuingia madarakani aliweka mazungira ya siasa vizuri mana kuna watu wangekufa kwa kukosa mkate wa kila siku. Ikumbukwe siasa ni ajira ila ajira hiyo jpm aliiondoa huku akijua hakuna mbadala wa ajira hiyo as a result akaongeza mrundikano wa wahitimu myaani hence unemployment...
  18. We miss you JPM, where are you!!?

    Tunaweza kusema Pasi Na Shaka yoyote kwamba Kwa Sasa Huu unaweza kuwa ni wimbo ambao unaimbwa Sana Na wale tunaoikumbuka Kazi ya Shujaa huyu wa Afrika. Na hili halijifichi Hasa unapowazungumzia wale wote wenye kuitumia Barabara ya Morogoro kipande kutoka maili Moja Kibaha mpaka kuitafuta...
  19. Chato imetelekezwa? Maji hayatoki kwenye mabomba zaidi ya miezi miwili

    Kweli sasa hii imekuwa aibu kubwa. Ziwa Victoria lipo jirani kama km 1. Lakini maji hayapatikani kwenye miji ya watu wenye mabomba. Je, Hayati Magufuli angekuwepo haya yangetokea Chato?
  20. M

    Naomba mwongozo wa kwenda kuhiji kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

    Kama ambavyo nilishajisemea kwamba, lazima kuna siku katika maisha yangu nitakwenda kuhiji kwenye Kaburi la Mwamba wa Afrika, JPM, sasa naomba utaratibu wa kwenda huko. Nawasilisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…