MIEZI SITA BILA JPM: WATANZANIA WALIISOMA NA KUIELEWA DHAMIRA YA RAIS MAGUFULI ILIYOTIRIRIKA KAMA MAJI.
Leo 10:15hrs 19/09/2021
Rais John Magufuli, alikuwa Mzalendo mwenye mapenzi ya kweli kwa Nchi yake,hakuijua China,Marekani wala Ulaya toka achaguliwe, yeye ni Morogoro, Arusha, Iringa...
Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.
Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi...
Kipindi cha nyuma nilikua nampenda na namkubali JPM kwa utendaji wake kazi lakini kwa sasa naona kama vile nikisikia hata jina lake napata kichefuchefu sasa maana imekua too much
katika hali isiyo ya kawaida mimi nashangaa na ninasikitika sana, nimejiuliza sana Hayati JPM alikua na kipawa cha...
Kila alipokuwa akifanya ziara tulishuhudia hayati JPM akitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo. Sasa hivi kila mtu anashangaa imekuwa ni kukamuana tu kwa kila namna.
Mhe. Lukuvi awamu iliyopita alikuwa anazunguka na kutoa amri zakufuta hati kila siku huku akiwatetemesha makampuni ya upimaji wa ardhi yakimbizane na deadlines. Alionekana Kama anajua kazi yake na ana uwezo wakusimamia kazi ikaenda.
Leo hii ameondoka aliyekuwa bosi wake na yeye amepotea Kwenye...
Amani iwe nanyi wanabodi
Leo nimeona nishare na nyie tofauti ndogo niliyoiona kati ya JPM na Samia Hadi sasa
1. Samia anafanya kazi kubwa sana ila haja invest kwenye mapambio ya kusifu na kuabudu.
Kielelezo cha haya ni takwimu kubwa zinazombeba zinazoendelea kutolewa hadi sasa kuhusu Tanzania...
Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa...
Leo umeme umekatika majira ya saa nne hivi asubuhi, mi niko Kariakoo Jiji la Ilala mkoa wa Dar es Salaam, kwa style ulivyokatika umeme sikuona kama kuna tumaini la umeme huu kurejea mapema.
Nikaamua kuuliza maeneo mengine kama Tabata nk nako hakuna Umeme pia.
Nambie we uko wapi? Kwako kuna umeme?
Askofu Gwajima anaonesha kuwa ni mmojawapo waliokuwa wanamshauri vibaya Rais JPM (rip).
Hizi chanjo hata Ulaya na Marekani wanachanja kwa wingi sana. Inamaana wao watakuwa mazombi ili Gwajima akazoe Dola zao kwenye mabenki watakapogeuka kuwa mazombi kama anavyosema Gwajima kuwa chanjo hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.