Huyu mutu ya Kigoma leo imesema tusimtegemee akikikosoa Kama alivyokuwa anafanya awamu ya JPM. Nadhani anachosau Zitto Ni kwamba hakuna mwananchi anayetaka ukosoaji, wananchi wanachotaka ni kuona kiongozi anamsimamo na anaweza kuwatetea iwe kipindi cha njaa au cha neema.
Zitto anachodhania yeye...
Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)
Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana..
Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr...
Mabaai ya mikoani yanachosha sana, maana Km 1000+ unatembea kwenye basi. Tofauti na SGR itayokuwa na kasi ya Km 200+/hr.
Gharama za usafirishaji zitapungua sana. Maisha ya wananchi yatapata ahueni. Fikiria mfuko wa saruji kwa kanda ya ziwa ni Tsh 20,000/= kwa sasa.
JPM alichukiwa na mafisadi...
JPM aliondoka akiwa amevuruga kabisa mambo ya good governance Serikalini na hasa kwenye Taasisi zake. Enzi za Mkapa mpaka JK, nafasi za nyeti Serikalini angalau watu walishindanishwa.
Sheria nyingi za Taassis zinaonesha utaratibu wa kupatikana kwa viongozi wa Taasisi na nafasi za juuu.
Mfano...
Binafsi sina kabisa interest na siasa ila nilimpenda JPM kama ambavyo ninampenda baba yangu na watu wengine wengi tu katika jamii, ukweli kuwa watu ninaowakubali huwa au huweza kuwa na upande wao wa pili ambao siukubali upo wazi pia ila kukiri kuwa nawakubali ni matokeo ya mchanganuo wa jumla ya...
Habari JF
Wiki kadhaa zilizopita Serikali ilianzisha kampeni ya kuhakikisha maeneo yetu yanarejea katika hali nzuri kwa kuhakikisha kuwa wafanyabiashara maarufu kama wamachinga wanawekewa uratatibu mzuri wa kufanya biashara zao huku mazingira yakibaki safi na salama kwa ajili ya matumizi na...
Zamani ilikuwa ni ugomvi.
Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita.
Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa.
Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa.
Aliyebuni hii mbinu anaakili...
Tunaendelea.....
Katika awamu ya 5 mambo mengi ya hovyo yalifichwa kupitia propaganda mfu za uzalendo. Watu wengi waliumizwa na kudhulumiwa. Kesi za uongo na kubambikiza zilikuwa za kufikia tu.
Tuliopewa macho ya kuona haya na wapenda haki tulipiga kelele ikaonekana tunakosa uzalendo...
Ilikuwa kama utani vile mwaka wa kwanza toka aondoke Nyerere tukadhani 2000 lazima Chadema waingie ikulu lakini wapi.
2005 wakaja na helikoptaa lakini mipango ikagoma, 2010 ngoma ikakataa, 2015 gwiji la siasa za urais Lowassa lakini wapi. 2020 tukajaribu gwiji la siasa za Brussels likakutana na...
Leo wakati Rais akizindua mpango wa maendeleo (tafsiri "matumizi") ya pesa ya Covid kutoka IMF, amesema anaagiza watumie "single source" kwenye manunuzi na kandarasi. Kasema zabuni za kawaida zinatuchelewesha, hataki kuzisikia.
Swali langu lina sehemu mbili tatu:
hivi taratibu za matumizi ya...
Hatimaye kilio cha machinga kumlilia JPM, chaanza kusikika, baada ya gari la matangazo kupita mitaa ya tandika na kuwaambia kuwa mwisho wa kupanga bidhaa zao, pembeni mwa barabara, mbele ya maduka, na kwenye hifadhi za barabara mwisho ni 18.10.2021.
Hivyo wanatakiwa kuondoka mapema na kwenda...
Nimeangalia kinachoendelea sasa katika nchi na kujikuta nalazimika kumuuliza yafuatayo kuhusu mpendwa wetu Magufuli (r.i.p);
1. Hivi aliwezaje kuwafanya watu wamuogope vile? hofu ile ni kutumbuliwa tu au?!!! namkumbuka mkuu mmoja wa mkoa (nikifanikiwa nitaitupia clip) alivyokuwa anatetemeka...
Kuna watu hawawazi kama kuna watu kupata milo miwili kwa siku ni shida.
Unakuta baba ni fundi na anategemea akitoka akapata kibarua ndiyo nyumbani wanasonga ugali, baba ni machinga akitoka akatembeza vitu mitaani ndiyo familia inakula.
Wapo watu tangu wamezaliwa hawajawahi kukosa chai kuanzia...
Miaka mitano yote akiwa madarakani tuliwakilishwa na mawaziri wa nje. Na hakuna mtanzania aliyeona labda tumepungukiwa kiuchumi. Zaidi ya kuona maendeleo kwenye sekta za afya, miundo mbinu na ukusanyaji mapato.
Safari hii tumewakilishwa na mkuu wa nchi. Je, ndio kusema taasisi kubwa kama Imf...
Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida.
Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida.
WanaCcm wanaopenda...
Upinzani wa Tz unatakiwa kuzaliwa upya kwa kutumia mifumo ya demokrasia komavu na pevu za USA na Uingereza ambapo mgombea anaposhindwa uchaguzi mmoja basi uchaguzi unaofuata hagombei tena bali anaachia ngazi kwa kutoa nafasi kwa sura mpya asilani. Sura moja ikizoeleka sana ni sawa na adui kuzoea...
Kwa kifupi awamu ya 5 ilisimamia sera zetu wapinzani tulizozisimamia kwa muda mrefu tofauti iliyokuwepo ni kwamba tofauti za kisiasa zilifanya awamu hiyo itushambulie na sisi wapinzani.
Ni wakati sasa kwa wapinzani kurejea katika sera zetu za kumkomboa Mtanzania mnyonge kwa kusimamia rasiliamli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.