Jamani, elimu halisi inatokana na self-effort, knowledge iliyopatikana kwa kujituma, siyo ile ya ‘Samia system’ inayojulikana kwa rhetoric tu. Elimu ikishapewa jina la mtu mwingine, usitegemee ajira; success inatokana na initiative yako binafsi. Mimi nina makampuni Tanzania, ninaishi kwa...