Juhudi binafsi, faith, na hustle: njia yetu halisi ya kujipatia pesa

Juhudi binafsi, faith, na hustle: njia yetu halisi ya kujipatia pesa

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
533
Reaction score
1,499
Jamani, elimu halisi inatokana na self-effort, knowledge iliyopatikana kwa kujituma, siyo ile ya ‘Samia system’ inayojulikana kwa rhetoric tu. Elimu ikishapewa jina la mtu mwingine, usitegemee ajira; success inatokana na initiative yako binafsi. Mimi nina makampuni Tanzania, ninaishi kwa kujitegemea, na bado pesa siyo jambo la haraka, bali ni matokeo ya strategy, discipline, na hard work.

Lakini wacha nikuambie – kuna mtu mmoja, hana hata secondary education, anakuja kusema, ‘vijana fanyeni kazi,’ kwa sababu yeye anapata vipesa kwa njia fulani fulani. Hii siyo hustle halisi; ni shady route. Vijana, tunapojitahidi, tupambane taratibu, tukijali health zetu, wellbeing, na community yetu.

Faith yetu kwa Mwenyezi Mungu lazima iendane na action yetu. Trust the grind, respect the process, hustle smart, na Mungu atatenda kwa favor yetu. Kila step iwe calculated, kila venture iende sambamba na skills na knowledge zetu. Imani + deliberate effort = sustainable, self-made success.
 
Back
Top Bottom