Msanii anaetamba na kibao cha "Mapozi" alicho washirikisha Jay Melody na Mr Blue msanii Diamond Platinumz, amewataka wapinzani wake waongeze juhudi maana hawamsumbui kabisa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond ameandika,
"Dah Wapinzani wangu embu jitahidini basi jamani, maana namna hii...