juhudi

Rudolph V. Tolbert was a community activist who fought against housing discrimination in Philadelphia.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    CHADEMA ni dhahiri mmeumia kisiasa ila hakuna budi mnatakiwa kuunga juhudi. Mkijitenga mtaumia zaidi

    Mtafanya nini zaidi ya kuacha mafarakano? Maana taifa lina hitaji amani na mshikamano. Sheria imefuata mkondo, mwamba yupo mahabusu. Hapa ni kusubiri sheria ifuate mkondo. Hakuna haja ya kuwa na vinyongo, ungeni juhudi ili taifa lipate maendeleo. Hii ina maanisha kuwa mkubali matokeo na kuacha...
  2. Francis12

    Tundu Lissu: Kukamatwa Mbowe ni juhudi ya watu kwenye vyombo vya dola

    Siku Moja kabla ya kumkamata Freeman Mbowe nilipigiwa simu na Ikulu Ila nilikuwa safarini, kesho yake Usiku ndiyo wakamkatama Mbowe Tumefanya juhudi kubwa sana kujaribu na Mama Samia lakini amekuwa anakwepa kwepa mazungumzo kwa muda mrefu. Kuna watu ndani ya Serikali ambao awataki kuwe na...
  3. Its Pancho

    Ni juhudi gani uliwahi fanya kupata mpenzi ukikumbuka unaishiwa nguvu?

    Wakuu watu wanazaliwa na kukua... Katika makuzi sometime unajikuta balehe inakupeleka kutaka kunyanduana, hivyo harakati za kutafuta wasichana zinaanza, hata ukubwani pia sasa hivi bila shaka kuna harakati pia za kutafuta pisi bado unafanya. Kiasi kwamba ukikumbuka unaishiwa nguvu. Je ni...
  4. S

    Mtazamo: Waliounga mkono juhudi na kisha kuaminiwa na kupewa vitengo, huenda baadhi walitumwa na sasa ndio wanahusika na yanayoendeleea huko Twitter

    Kwa mtazamo wangu,inawezekana kabisa baadhi ya wale waliounga mkono juhudi na kisha kupewa vyeo,baadhi yao walipandikizwa huku wakiwa wamepewa kazi maalumu na moja ya kazi wanayofanya ni hayo yanayoendelea huko twitter ambapo tunaona nyaraka zinavujishwa kila kukicha. Pia,inawezekana wako...
Back
Top Bottom