juice ya miwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Natafuta mtengenezaji wa juice ya miwa

    Nipo Kitunda,Ilala,Dar-es-Salaam Namba:0685 069 818
  2. Msaada wa eneo la kuuza juice ya miwa

    Biashara ya juice ya miwa, msaada wa eneo la kufanyia biashara ya juice ya miwa
  3. M

    Machine used ya juice ya miwa inahitajika

    Habari Wana wa Mungu,nahitaji mashine used ya juice ya miwa , location Dar es salaam .Offer Laki saba cash.Kama unayo weka Namba tuyajenge.
  4. S

    Natafuta mashine ya kukamua juisi ya miwa, nipo Dar es Salaam

    Habari wa JF, Kama Kuna mtu yeyote anafahamu sehemu mashine hizi zinauzwa naomba anijuze, au kama Kuna mtu anauza pia tuwasiliane. 0657380484
  5. INAUZWA Mashine ya kukamua juice ya miwa inauzwa

    Habari za weekend, Wakuu. Husika na mada tajwa hapo juu, Waswahili wanasema kimfaacho mtu chake, Ninauza iyo machine ya kukamulia Juice ya MIWA, ipo Tanga kwa Bei ya 850K, Ipo katika hali nzuri inatumia umeme, na toka nimeinunua nimeitumia kwa mwezi mmoja Tu, Karibu Sana.
  6. Nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme. Je, naweza kupata wapi?

    Habari wan JF Natumai ni wazima, Nilikua nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme je naweza kupata wapi na kwa bei gani. Naomba kwa mwenye kufahamu pia mwenye kujua connection ya miwa inakuwa naomba kufahamu.🙏
  7. Nahitaji kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa

    Kwema wazee, natafta kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa awe na sifa zifuatazo Chini ya Umri wa miaka 25 Awe mzoefu wa biashara ya juice ya miwa hasa eneo la Kariakoo na Mbagala Awe na ujuzi wa kuifanyia service mashine Awe ameshapoint eneo la kufanyia kazi lenye mzunguko mzuri ...
  8. Mashine ya juice ya miwa inahitajika

    Wassalaam! Moja kwa moja niende kwenye point ndugu zanguni, mashine ya juice yà miwa inahitajika Location: Dar es salaam Condition: used Offer: 500k Karibuni tufanye kazi
  9. T

    Natafuta machine mpya ya kutengeneza juice ya miwa

    Habari ya mwaka mpya wakuu, mwaka wa 2022. nawatakia kila la heri yote, sasa natafuta machine ya kutengeneza juice ya miwa, machine mpya, ni wapi naweza inunua au ni wapi naweza enda kuangiza moja, nasikia hata VETA wanauda machine aa hizo, naomba ushauri wenu waku, natangulia shukrani zangu
  10. M

    Inaitajika: Mashine ya Kutengeneza Juice ya Miwa

    Wadau salaam! Naitaji nshine ya kutengeneza Juice ya miwa kwa Dar. Iwe mpya au used kwa bai rafiki! Naomba ni PM kama u a offer.
  11. N

    Naombeni ushauri wa biashara ya juice ya miwa, mtaji ni milioni 1-2

    Habari za leo. Naomba ushauri, nataka kufanya biashara ya juice ya miwa. Ni hivi sitaifanya mimi nitamuweka kijana afanye. Kwahiyo naomba ushauri juu ya hii biashara ikiwa itaweza kunilipa maana nachukua hela ya mkopo. Nikiwa na maana kwamba biashara nitakayofanya naitegemea inipe rejesho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…